katiba mpya: Kama masuala ya Muungano hayajadiliwi, je wanzenji wanafanya nini kwenye tume?

mabadilikosasa

JF-Expert Member
Dec 23, 2010
379
85
Jamani ebu nisaidieni. Kama maswali ya muungano hayajadiliwi, je wanzibari wanafanya nini kwenye tume? Maana wao wana katiba yao ya nchi ya Zanzibar tayari. Je wao wamewekwa kusaidia Tanganyika kutengeneza katiba yao?
Naomba ufafanuzi kwa hili!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom