Katiba mpya itawafikia wenzetu vijijini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Katiba mpya itawafikia wenzetu vijijini?

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by Kanjunju, Jan 23, 2011.

 1. K

  Kanjunju Member

  #1
  Jan 23, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 92
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Swali langu kwenu wana jf ni juu ya hii katiba kweli itawafikia mama zetu kule vijijini ili waweze kuona faida ya katiba mpya?kimsingi nimejifunza kitu tokea huu mchakato uanze ni watu wa mjini tu wanaozungumzia katiba lakini vijijin watu bado hawaelewi juu ya hilo.sasa tufanyeje kuwasaidia waliopo vijijini kutambua haki zao?
   
 2. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #2
  Jan 23, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Umemaanisha kupata ile hardcopy ya katiba au kuwafikia kivipi?
   
 3. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #3
  Jan 23, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Mwandishi wa thread nadhani alikuwa anauliza kama mchakato wa kuunda katiba mpya utafika vijijini?
   
 4. T

  The Future. Member

  #4
  Jan 23, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwanza mchakato huo wa katiba umefikia wapi? mbona naona kimya na siskii muendelezo wa mchakato mzima wa katiba hiyo?
   
 5. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #5
  Jan 23, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  hapo nimeelewa. Nafikiri hata kwa mjini sidhani kama huo mchakato utafanywa na watu wengi.
  Vijijini watashiriki kwa kupeleka maoni yao kwa wabunge wao.
   
 6. T

  Tunsume Member

  #6
  Jan 23, 2011
  Joined: Aug 25, 2008
  Messages: 68
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 15
  Lazima tuchemshe bongo zetu tuone ni vipi elimu ya uraia-katiba itafikishwa hadi vitongojini ili wa-Tanzania wote waelewe, wajadili na kisha wachangie katiba wanayoitaka. Jadili Katiba Tanzania programme ni mradi umebuniwa na Tanzania Gender Accountability (TAGA); Women and Law East Africa-Tanzania na Rights Action Watch, kupeleka elimu ya katiba vitongojini ikiwanlenga wanawake na vijana. Kuwafikia wakina mama vijijini kunahitaji hatua zaidi ya kugawa nakala za Katiba ya sasa. Hapa jukwaani tumeonge sana na wengi wetu tumeelimika kiasi kwamba tukiulizwa tunataka nini kiwemo kwenye katiba mpya, na mchakato uwe vipi, tunaweza kusema kwa uhakika. Inabidi sisi wote tunaochangia humu kila mmoja achukue hatua ya kuto elimu ya katiba kwa ndugu, marafiki na jamaa zetu vijijini na mijini.
   
 7. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #7
  Jan 23, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Ndiyo zao hao. Watachelewesha weeeeee mwishowe utashangaa 2015 hii hapa, hakuna cha katiba mpya wala nini.
   
Loading...