Katiba mpya itaruhusu wanawake kutongoza wanaume na kuwaoa!.

Kumbe nkitongozwa na demu una-mind hahahahahahaa..................!
Hajakupenda bhana acha miwivu sema kama unataka pande tu............................!

Poa mkuu, wakija wengi nipigie pande basi.

Wajua hawatujui kwa sura so wakijileta nihamishie mimi, then ntawaambia mi ndo kimbweka original
 
Poa mkuu, wakija wengi nipigie pande basi.

Wajua hawatujui kwa sura so wakijileta nihamishie mimi, then ntawaambia mi ndo kimbweka original

Haya bhana kizuri kula na nduguyo teh teh teh eteh ............................!
 
Back
Top Bottom