Katiba mpya ipunguze mlundikano wa kesi mahakamani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Katiba mpya ipunguze mlundikano wa kesi mahakamani

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by pilau, Aug 26, 2012.

 1. p

  pilau JF-Expert Member

  #1
  Aug 26, 2012
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 1,523
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Kwa maoni ya ngu katiba mpya ya Jamhuri ya muuangano iwezeshe kutokuwa na mlundikano wa kasi mahakamani, ambao mara nyingi hauna tija bali usumbufu na gharama kwa taifa ambazo zingeweza kuepukika kwa kuwaweka watu mahabusu kwa makosa madogo au makubwa Yapo makosa kama mtu amekamatwa na kuku aliyemwiba akipelekwa polisi atakaa siku moja kwa gharama ya serikali, baadaye atapelekwa mahakamani kama atakana kosa hata kama alikamatwa (red handed) itabidi apelekwe mahabusu kwani kesi itaahirishwa serikali itamgaramia malazi na chakula. Yaorodheshwe makosa mbalimbali ambayo mtu akikamatwa ni kupelekwa JELA MOJA KWA MOJA BAADHI YA MAKOSA KAMA 1. Aliyekamatwa na madawa ya kulevya 2. Aliyeshikwa ugoni 3. Dereva aliyesababisha ajali na mauaji 4. Jambazi aliyekamatwa na silaha za aina yoyote za moto au baridi. mlolongo wa makosa mbali mbali ni mrefu kwa sasa wanaokamatwa na madawa ya kulevya wengi haijulikani kesi zao zinaishia wapi na wakati mwingine vitu walivyokamatwa navyo (exhibit) kubadilishwa kutoka kuwa COCAINE kuwa UNGA WA NGAO, hali kadhalika majambazi wengi wamekuwa na ushirikiano na baadhi ya mahakimu ambao sio waaminifu, majambazi wanaweka mawakili katika kesi zao za ujambazi na kuachiwa. ziko nchi kwa mfano China na zinginezo ambazo ukikamatwa na madawa ya kulevya na ikithibitika kuwa ni kweli unahukumiwa siku hiyo hiyo kama ni kunyongwa au jela miaka zaidi ya 60, nchi kama Dubai dereva anahukumiwa mara moja bila kusumbua serikali kwa kesi zisizokuwa na tija
   
Loading...