Katiba mpya haiwezi kupatikana chini ya ccm/chadema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Katiba mpya haiwezi kupatikana chini ya ccm/chadema

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MWANASHERIA, Mar 4, 2011.

 1. M

  MWANASHERIA Member

  #1
  Mar 4, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa sababu CCM watafanya lolote wawezalo ili kulinda maslahi yao kwenye katiba, na hata CHADEMA ikiingia madarakani, kama wao wataongoza mchakato wa kutengeneza katiba mpya, basi watalazimisha kuweka vifungu vitakavyolinda maslahi yao.

  HIVYO BASI NJIA SAHIHI YA KUPATA KATIBA MPYA, TUNAYOITAKA WANANCHI ni kufanya mapinduzi ya kiraia kama TUNISIA na MISRI ambao naamini wapo kwenye nafasi nzuri ya kutengeneza katiba mpya sasa.

  Kwamba baada ya mapinduzi, nchi tuikabidhi kwa jeshi au serikali ya mpito ili iandae hiyo katiba mpya.
  NAOMBA KUWAKILISHA
   
 2. d

  dotto JF-Expert Member

  #2
  Mar 4, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Kwani CCM wao walimpindua nani? Au sasa jina hilo la mapinduzi ndilo linawatafuna sasa!
   
 3. Click_and_go

  Click_and_go JF-Expert Member

  #3
  Mar 4, 2011
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 451
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  .....maslahi ya cdm ni maslahi ya umma,,,,,,maslahi ya sisiem ni maslahi ya mafisadi watupu!!!!!
  wizi wa mchana!!!
   
Loading...