Katiba Mpya haitamwacha mtu salaama"

Baba jayaron

JF-Expert Member
Jun 29, 2015
3,995
5,435
Asalaam wanajamvi!!

Katiba sio mkataba wa kupangishiana vyumba uswahilini, Katiba ni maisha na asset.

Naona wimbi la vuguvugu lenye kujivika ujasiri wanashinikiza mchakato batili wa kuandikwa katiba mpya uanze.

Nasema mchakato batili kwasabaabu hao wanaodai Katiba mpya wengi wao si watu wenyenia nzuri na taifa hili.

Labda niwaaeleza hio katiba mnayoitaka haita wapatia mnachotaka na mkipata mtakilipa kwa gharama kubwaa.

Watanzania wametulia wenyewe nyie kuwasemea semea kupitia ukimya wao nyie mfanye mtaji.

Najua kwa hili mh rais hatolisikia hata mumwambie kwa kisukuma halipo kwenye ilani ya chama chake, nami namwambia Rais wetu atupilie mbali swala la katiba kwakua ai hoja ya wananchi.

*Hii katiba tuliyonayo tukiifuata na kuitii tutafika tuu, hekima na busara vikitumika kwa Rais wetu na viongozi hakuna kitakachoharibika kikubwa viongozi wajitafakari.

Muhimu:
Uelewa wa watanzania bado, tusubiri walau 45% waelimike huu mchakato ndo uanze la sivyo huu ni mtaji wa wanasiasa na vibaraka wao na " Katiba hio haitamwacha mtanzania salaama"

Mimi ni mzalendo!
 
Huko ni kuwashwawashwa sio bure,

Hao watanzania waliotulia ni kina nani?
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom