Katiba Kuundiwa Tume ni Ubabe na Udikteta ule ule | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Katiba Kuundiwa Tume ni Ubabe na Udikteta ule ule

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by spencer, Jan 3, 2011.

 1. spencer

  spencer JF-Expert Member

  #1
  Jan 3, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 2,792
  Likes Received: 1,337
  Trophy Points: 280
  GreatThinkers,

  Sikio la kufa..........................................

  Aliyeua kwa upanga hufa kwa..................................................

  Mwana wa nyoka ni ...............................................................

  Ukijibu vizuri methali zangu utaelewa kuwa kiongozi ambaye hakuchaguliwa na watanzania hawezi kuundia watu wale wasiompenda tume huru kwao, huu ni ubababaishaji na kubembeleza watu waendelee kupiga usingizi.

  Hivi tumejifunza mangapi kwa maamuzi ya wateule wake? Anataka kupoteza muda na kutumia vibaya mali za umma, badala kufanya liwe ni mjadala kitaifa anaona atafunikwa.

  Hii ni kujilisha upepo, Tume hii itakusanya maoni yenu lakini haitayaweka ktk mapendekezo ya katiba kwa sababu kwa sababu hawawezi kumwangusha mwajiri wao.

  Naamini kwa hoja kwenda Bungeni, Wabunge wetu wangeweza kupata INPUTS kutoka sehemu mbali mbali lakini hii tume, italeta majibu kama ya kura za maoni SYNOfATE. With Cooked interviews!

  Kama hasomi alama za nyakati, atakuja kuzielewa akiwa kwa O'Campo-The Hague

  Tume yake ya Katiba mpya ni yake kama ilivyo kwa NEC kuwa ya CCM.:ranger:
   
Loading...