Tanzania Mpya
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 253
- 144
Wah, sijui kama katiba inaelekeza kuhusu hoja hii... Mbunge akifukuzwa na chama chake ataendelea na ubunge wake. Je, Rais itakuwaje? Mliopitia rasimu, vipi kuna maelekezo yoyote? Na je akihama chama wakati yupo madarakani?
Naomba ufafanuzi wakuu. Na kama haisemi chochote, je kuna haja ya kufafanua masuala haya?
Naomba ufafanuzi wakuu. Na kama haisemi chochote, je kuna haja ya kufafanua masuala haya?