Katiba imevunjwa, tusilembe majeraha na Dr. Possi

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
43,394
81,237
Hakuna appointment with replacement! Hakuna, legislature ingelikuwa na nia hiyo ingelitaja kabisa maana hilo sio jambo dogo kuwa mtu anakuwa na infinite number of appointees by way of replacement! The legislature would have expressly said so in a clear and plain language

What I believe this has been done out of ignorance and not deliberate!
Kuna watu watawajibishwa kwa kuvunja katiba????, time will tell!
 
Weeeeee andika weeeeeeee, jam ba jam ba weee, kwa taarifa yako hiyo katiba yenyewe inampa madaraka rais kuivunja, dawa imewaingia na bado,mtahaha sana na mtapoteana sana kudadadeki
 
Nani atakaye wajibishwa??Rais hana nia kabisa ya kufuta sheria na amesema Serikali ndiyo mhimili wa juu kabisa sababu ndiyo inatia mafungu. Hata akiwa chooni anaweza kugawa mafungu.
Ndio kuvunja katiba! Unadhani Jammeh alifikiria kuna mwaka na siku haya yatatokea? Sawa na Museveni, ukimwangalia unaona kuwa yeye is above Mungu!
 
Acha matusi please, sijatukana hapa!

Huo ndio ukweli, hakuna matusi hapo, ulichokifanya ndicho nilichokisema, umejaa mba tu hapa, unataka kuleta uchonganishi na hasira watu waichukie serikali ili upate nini? Mkiachwa ninyi mnazidi
 
We kweli Domokaya

Umefika muda wa moto kwa moto, watu kuchwa uchochezi na uchonganishi hakuna kazi nyingine mjuayo, mimi binafsi nimechoka na nitakufa na wote wenye kuufanya uzushi uwe ukweli na huu udomokaya wangu, kama mtaji ni maneno, na mimi namshukuru Mungu ninayo
 
Mtu kama huyo ni kumpuuza, sasa kwa mfano kuna nini cha kushangilia hapo?

Inawezekana wewe unataka kumfanya vibaya mwenzio, unaifurahiaje hewa chafu aliyoitoa halafu unadai unaiependa?Wapenda ushuuu zii wa mwenzio? wewe hatari
 
Si umesema unajamba nae, we endelea kujamba tu, na bado utajamba sana, kuna maharage mengine mama yangu amekuchemshia, angalia tu usije ukatoa utumbo

Hata kama uko nae we jamba nae tu lakini hilo haliondoi ukweli kuwa hapa umeajamba tu

Umefika muda wa moto kwa moto, watu kuchwa uchochezi na uchonganishi hakuna kazi nyingine mjuayo, mimi binafsi nimechoka na nitakufa na wote wenye kuufanya uzushi uwe ukweli na huu udomokaya wangu, kama mtaji ni maneno, na mimi namshukuru Mungu ninayo
Kama hivi ndio kuzuia uchonganisha kwa kuandika lugha ya kijinga hivi basi mwafaa
 
Hakuna appointment with replacement! Hakuna, legislature ingelikuwa na nia hiyo ingelitaja kabisa maana hilo sio jambo dogo kuwa mtu anakuwa na infinite number of appointees by way of replacement! The legislature would have expressly said so in a clear and plain language

What I believe this has been done out of ignorance and not deliberate!
Kuna watu watawajibishwa kwa kuvunja katiba????, time will tell!
Acha tuone. Kama kuna walio above the law.

Katiba haijasema atakuwa na wabunge 10 aliowateua ndani ya bunge la JMT, imesema atateua. Ndiyo maan halazimiki kuteua wabunge wote 10.
 
Hakuna appointment with replacement! Hakuna, legislature ingelikuwa na nia hiyo ingelitaja kabisa maana hilo sio jambo dogo kuwa mtu anakuwa na infinite number of appointees by way of replacement! The legislature would have expressly said so in a clear and plain language

What I believe this has been done out of ignorance and not deliberate!
Kuna watu watawajibishwa kwa kuvunja katiba????, time will tell!
Mbn la kuzuiwa mikutano hamshabikii
 
Back
Top Bottom