Katiba imekuwa ni dili kwa sasa mtaani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Katiba imekuwa ni dili kwa sasa mtaani

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by STEIN, Jan 24, 2011.

 1. STEIN

  STEIN JF-Expert Member

  #1
  Jan 24, 2011
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 1,764
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Kwa namna ya pekee naipongeza CDM na viongozi wake kwa kuamsha ari ya waTZ kudai katiba mpya ya Tanganyika maana Zenji tayari wana yao.

  Mwamko huu wa watu umikuja mara baada ya uchaguzi mkuu na kuwafanya watu kuitafuta katiba hii iliyoko sasa na kutaka kuifahamu. Kwa sasa vijana wengi wamekuwa wanatafuta Hard copy ya katiba ili angalau na wao waisome.

  Saa ya ukombozi imekaribia, na ile jeuri ya CCM kuwaongoza waTZ kwa kutowapa elimu ya uraia inafikia ukingoni.

  Peoples Power.
   
Loading...