Ndugu zanguni ingekuwa inawezekana Bunge letu tukufu lingevunjwa au likafutwa kwa muda likaipisha serikali ya Mhe Rais Magufuli ikafanya kazi inayokusudia.
Nasema hivyo kwa sababu naona uwepo wa Bunge hauonekani katika misingi ya zile kazi ambazo zingefanywa na Bunge, tayari serikali inakuwa imeisha zitekeleza, mfano nimeangalia kama sijakosea bajeti iliyopelekwa Bungeni hakuna marekebisho yaliyotolewa na wabunge yaliyoonekana.
Kama ni figure zimebaki vile vile hata kama kunabadiliko nafikili limekuwa dogo sana tofauti na Miaka ya nyuma ambapo inanifanya niamini Serikali iliyopo kuwa inaweza kufanya majukumu yote mawili. Katika mazingira kama hayo ya kila kitu kinachotoka serikalini na kupelekwa Bungeni kinapitiswa kama kilivyo pelekwa, hata kama ungekuwa ni mswada ninaimani unapita bila marekebisho kwa jinsi Serikali ya sasa ilivyo makini. Je kunahaja ya kuwepo Bunge hilo?.
Nionavyo mimi lingefutwa kwa muda kwa kuwa gharama nikubwa za kuliendesha wakati kazi zake zinakuwa zimekwishwa fanywa na Serikali yetu.