Payer
JF-Expert Member
- May 10, 2014
- 824
- 188
Wakati Tanzania ikitoa macho kwa mshangao juu ya uchotwaji wa fedha za escrow; Mimi sishangai sana kwani hayo ni matokeo ya katiba mbovu inayoacha mianya ya kuandika mikataba mibovu.
Kwa kuwatumia wanasheria wazawa wasio wazalendo na wenye uchu wa pesa, sheria inapotoshwa na wanafanya yao.
Rai yangu: vijana ndio wakomboz pekee wa taifa hili wakishirikiana na wazee.
Tujiandikishe kupiga kura, tushiriki ktk uongozi kwa ngazi tofauti kivitendo.
Pili tusibeze mchakato huu wa katiba. Tutalia sana tusipokuwa makini na hili.