Kati ya Xiaomi Redmi Note 8(snapdragon) na Redmi Note 9 (Mediatek) ipi bora?

captain dunga

JF-Expert Member
Jun 5, 2014
282
626
Wadau habari zenu.?

Nilikuwa natumia Samsung A30, ambayo nilinunua mwaka juzi ,nilipanga mwaka huu ninadilishe..

bahati mbaya jana nikiwa na mashkaji tunapiga mambo niliidondosha, haifanyi kazi kwenye screen, ofcourse huwa situmii screen protector hivyo tangu muda imepasuka kioo, ila jana kioo kiliachana na simu, SITAKI KUITENGENEZA.

20210228_121904.jpg

20210228_121853.jpg

Sasa nimeamua nihamie kwenye XIAOMI ,wakati naangalia aina ya XIAOMI ya kutumia nikakutana na REDMI NOTE 8 inayouzwa 480,000 na latest REDMI NOTE 9 inayouzwa 520,000 (hii ni kwa mujibu wa duka lao rasmi lililopo pale China plaza ,floor ya 2)...

Sasa wakati naangalia specs nikashangaa kuona NOTE 9 inatumia Mediatek wakati NOTE 8 inatumia Snapdragon,.!
Screenshot_20210228-115544_Chrome.jpg

View attachment 1713821
Screenshot_20210228-115655_Chrome.jpg

Na jinsi watu wanavyoiponda mediatek humu nimeona niulize kabla ya kuchukua maamuzi...

ipi ni bora.?????
 
Kwanza tambua hakuna duka la xiaomi Tanzania ata agent tu hakuna, hio bei pia sio bei halisi ya hio simu ingia aliexpress uagize kaa bei pungufu, note 8 zina range 350, mpaka 420,na kama siomtu wa mambo mengi chukua poco m3, variety ya 64 gb unaipat around 335 mpka 350 aliexpress
 
shukrani mkuu, kwahiyo jamaa ni wapigaji aisee.???
Kwanza tambua hakuna duka la xiaomi Tanzania ata agent tu hakuna, hio bei pia sio bei halisi ya hio simu ingia aliexpress uagize kaa bei pungufu, note 8 zina range 350,mpaka 420,na kama siomtu wa mambo mengi chukua poco m3, variety ya 64 gb unaipat around 335 mpka 350 aliexpress
 
shukrani mkuu, kwahiyo jamaa ni wapigaji aisee.???
Sio upigaji mzee kumbuka bei inajumuisha mengi hio, unalipia pango unalipia, umeme na kodi humo humo ya Tra, kama mfuko wako sio wa mashaka next week chukua jiwe linaitwa redmi note 10 , litakua reliased na ninaimani 3days later unaipata aliexpress ikiwa inauzwa na kusafirishwa kuja ulimweng wetu wa tatu.
 
hii note 10 ,kwa makadirio itazidi laki 6 bei.??????

Siku hizi ukinunua kitu aliexpress huwa kinatua kwanza kwenye mikono ya TRA!
 
Nunua tu mkuu bongo, ni vile hujui kufanya tu hizo process, sio kupoteza pesa, jifunze taratibu mambo ya buy protection, refund, indispute, etc. Hakuna mtu aliekua mbishi kama mimi kufanya online purchase ila nilibadilishwa na watu wenye mtizamo chanya leonimekua mzoefu nanunua bidhaa masoko mbali mbali duniani.
 
Back
Top Bottom