Kati ya wanasiasa vijana waliotumbuliwa Januari, Mwigulu na Nape nani anajipendekeza sana kwa Mkulu ili arudishiwe Uwaziri

Mwigulu jembe Sana Anajua vizuri Fitna za siasa
Ipo siku naamini atakuja kuwa mtu mkubwa sana kwenye Chama na serikalini pia.
Anakitumikia Chama kwasababu yeye nikiongozi wa chama, hakugombea uwaziri aligombea ubunge na bado ni mbunge aliyedhaminiwa na CCM kwa nafasi hiyo, Alipewa nafasi ya kuhudumu kama waziri na serikali inayoundwa na CCM sasa kutolewa kwenye uwaziri sio Shida wanachama niwengi Sana haiwdzekani kila mmoja akawa waziri.
Kwamba wabunge wasio mawaziri ni wanashida yoyote?
Endelea kukitumikia Chama Mwigulu Mungu atakupandisha Siku moja kwa kutokua na kiburi na kuwa humble

Sent using Jamii Forums mobile app
La kuendelea kuwa humble Mwigulu hajawahi kuwa humble!
 
Back
Top Bottom