Kati ya Wanajeshi hasa wale MP na Askari Polisi wale wa FFU nani wanajua kuadhibu ipasavyo na wana Adhabu Kali?

Ninachojua tu ni Kwamba 'Kombora' langu nimelielekeza mahala sahihi kwa 'Adui' na limeshamuangamiza vya kutosha na sasa 'unaweweseka' tu.
Ha ha ha we jamaa makombora tena .tuambie nini shida tukusaidie mbona panic zakutosha.wanyarwanda hawako ivo bana,cool down ,huu mchezo hauhitaji hasira ,haya majibu yako you made my moment .Ni Kama mwajuma ndala ndefu wa kigali
 
Kati ya Wewe na huyo Moses Swai nani ni 'Basha' kwa Mwenzake?
 
Kati ya Wewe na huyo Moses Swai nani ni 'Basha' kwa Mwenzake?
Dogo Vita ya 1994 bado dish lako halijakaa vizur .sisi tabia za kibasha kwetu hazipo ,Kama zipo basi umezileta ww mtusi .unaonekana una ishi maisha ya hovyo thus why you have fuc**discipline in your whole body
 
Hili ndilo Jibu la Swali nililokuuliza? Nalirejea tena Je, kati ya Wewe na huyo Moses Swai nani ni 'Basha' wa Mwenzake? Nijibu haraka sana sawa?
 
Niongezee lingine tafadhali kwani napenda mno Kutukanwa.

Kwahiyo hapa 'unakiri' kabisa kuwa huwa 'anakubahashia' na Wewe ni 'mbahashiwaji' uliyetukuka kabisa au?
Ha ha dogo ugali maharage unakutoa akili tunakuona hivi hivi .unajiuliza maswali unajijibu ,akili yako ikiludi ntaludi umaskini mbaya sana.bando la jero linakupa kiburi aisee aliekuharibu akili mbinguni atapasikia .
Na logg of until your mindset up return
 
Ha ha dogo ugali maharage unakutoa akili tunakuona hivi hivi .unajiuliza maswali unajijibu ,akili yako ikiludi ntaludi umaskini mbaya sana.bando la jero linakuoa kiburi aisee aliekuharibu akili mbinguni atapasikia .
Na logg of until your mindset up return
Acha 'Kuzuga' Mpuuzi Wewe ukweli tu ni kwamba 'unanikimbia' Kijanja kwani umekutana na 'Mziki' ambao ulishawashinda 'Magwiji' hapa Jamvini.
 
Mada ya kipumbavu sana hii.
Hii inaonesha level ya ujinga wa mleta mada.
Huwa namuweka dosari mwanaume anaekaa kusifia wanaume wenzake.

Nina Rafiki yangu mmoja ni Dereva wa Dala Dala Juzi nadhani ‘ alikengeuka ‘ na akapita njia isiyoruhusiwa ya JW na bahati nzuri Gari lake lilikuwa halina Abiria na alipokamatwa nao wala hawakumpiga ila kulikuwa na Uwanja wa Mpira pembeni wakamuuliza kama Gari yake ina Mafuta ya kutosha na aliposema haina wakamuongezea na ikajaa ‘ Full Tank ‘ na akaambiwa auzunguke huo Uwanja kwa Spidi ya Magari ya Mashindano ya ‘ Langa Langa ‘ hadi yale Mafuta yaishe na akatii ‘ Amri ‘ na baadae wakamuachia ila sasa hivi kila akikaa tu anasema anasikia ‘ Kizunguzungu ‘ na harufu ya ‘ Petroli ‘ inatawala Puani na Ubongoni mwake.

Ni jana tu Rafiki yangu mmoja Mmachinga akiwa maeneo ya Ukonga nadhani nae labda ‘ alikengeuka ‘ akawa anapita eneo la FFU huku akiwa anapiga Kelele za Kutangaza Nguo zake alizobeba kumbe alikuwa ameingia sehemu isiyotakiwa Kelele na walipomkamata wala hawakumpiga ila alipewa Kazi ya Kukata Michongoma kwa Kutumia Mkasi wa Kunyolea Ndevu na ule wa Mafundi Cherehani zoezi ambalo hadi leo hajalikamilisha labda atalikamilisha Wiki ijayo.

Je kati ya MP na FFU nani ni ‘ Mafundi ‘ wa Kutoa Adhabu?

Nawasilisha.
 
Tungekukaribisa kwenye career tatizo hata form IV hukufikisha hata C tatu...BISHA
 
Mada ya kipumbavu sana hii.
Hii inaonesha level ya ujinga wa mleta mada.
Huwa namuweka dosari mwanaume anaekaa kusifia wanaume wenzake.
Umemaliza ili nami nikujibu uweze Kuiheshimu hii 'ID' yangu Milele Daima na Amina?
 
Back
Top Bottom