Kati ya Wanajeshi hasa wale MP na Askari Polisi wale wa FFU nani wanajua kuadhibu ipasavyo na wana Adhabu Kali?

Wewe unaishi Bunda vijijini mambo ya Ukonga, Dar Slums unayajulia wapi?

Hivi ukisema hayo matukio yametokea Bunda, au Musoma mjini au Bugarika Mwanza kwa wakurya wenzako, utakuwa umepungukiwa na nini?..

Be proud of where ur coming from.
Bunda ndo umekuona shamba sio?
 
Nina Rafiki yangu mmoja ni Dereva wa Dala Dala Juzi nadhani ‘ alikengeuka ‘ na akapita njia isiyoruhusiwa ya JW na bahati nzuri Gari lake lilikuwa halina Abiria na alipokamatwa nao wala hawakumpiga ila kulikuwa na Uwanja wa Mpira pembeni wakamuuliza kama Gari yake ina Mafuta ya kutosha na aliposema haina wakamuongezea na ikajaa ‘ Full Tank ‘ na akaambiwa auzunguke huo Uwanja kwa Spidi ya Magari ya Mashindano ya ‘ Langa Langa ‘ hadi yale Mafuta yaishe na akatii ‘ Amri ‘ na baadae wakamuachia ila sasa hivi kila akikaa tu anasema anasikia ‘ Kizunguzungu ‘ na harufu ya ‘ Petroli ‘ inatawala Puani na Ubongoni mwake.

Ni jana tu Rafiki yangu mmoja Mmachinga akiwa maeneo ya Ukonga nadhani nae labda ‘ alikengeuka ‘ akawa anapita eneo la FFU huku akiwa anapiga Kelele za Kutangaza Nguo zake alizobeba kumbe alikuwa ameingia sehemu isiyotakiwa Kelele na walipomkamata wala hawakumpiga ila alipewa Kazi ya Kukata Michongoma kwa Kutumia Mkasi wa Kunyolea Ndevu na ule wa Mafundi Cherehani zoezi ambalo hadi leo hajalikamilisha labda atalikamilisha Wiki ijayo.

Je kati ya MP na FFU nani ni ‘ Mafundi ‘ wa Kutoa Adhabu?

Nawasilisha.
ninachowapendea mp sio wachoyoo, wanakwambia umekula? ukisema hapana wanakupa msosi ndo uanze gambe
 
Bora ungeuliza MP na Askari Magereza nani anagawa kanyampasila za kutosha kidogo swali lingeeleweka
 
Pumbavu hivi nilivyouanzisha huu 'Uzi' kuna mahala popote pale nimewataka au nimewalazimisha muufungue na muusome? Hauna Akili kabisa!!!
Pumbavu Sina akili kabisa ha ha hapo ndio nimejua wewe ni wa aina gani, move on bro mwezi naona mchanga saa hizi
 
Bora ungeuliza MP na Askari Magereza nani anagawa kanyampasila za kutosha kidogo swali lingeeleweka

Ile special force ya magereza ni hatari nadhani basi tu kwakua hawajioneshi lakini kwenye kugawa dozi wako vizuri mno wali jamaa
 
Pumbavu Sina akili kabisa ha ha Apo ndo nmejua we Ni wa aina gani,move on bro .mwezi naona mchanga saiz
Sindano imeshapenya mahala pake na ndiyo maana sasa 'unaweweseka' hivi nami. Hebu nitokee hapa 'Mpuuzi' mkubwa Wewe. Dozi imekuingia!!!
 
Ile special force ya magereza ni hatari nadhani basi tu kwakua hawajioneshi lakini kwenye kugawa dozi wako vizuri mno wali jamaa
Wale wanadili na watu walioshindikana 100%, FFU wanadili na raia tu wa kawaida
 
Sindano imeshapenya mahala pake na ndiyo maana sasa 'unaweweseka' hivi nami. Hebu nitokee hapa 'Mpuuzi' mkubwa Wewe. Dozi imekuingia!!!
Dozi imeniingia 😁😁 aisee, wewe jamaa utakuwa na shida kubwa ya kisaikolojia mpuuzi mkubwa Mimi ha ha ok bravo. Acha nikupe ushindi ila nakusikitikia labda Kuna mtu anatumia avatar yako
 
Dozi imeniingia 😁😁 aisee ,we jamaa utakuw na shida kubwa ya kisaikolojia.mpuuzi mkubwa Mimi ha ha ok bravo.acha nikupe ushindi ila nakusikitikia labda Kuna mtu anatumia avatar yako
Ninachojua tu ni Kwamba 'Kombora' langu nimelielekeza mahala sahihi kwa 'Adui' na limeshamuangamiza vya kutosha na sasa 'unaweweseka' tu.
 
Back
Top Bottom