Kati ya Wanajeshi hasa wale MP na Askari Polisi wale wa FFU nani wanajua kuadhibu ipasavyo na wana Adhabu Kali?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,370
108,412
Nina Rafiki yangu mmoja ni Dereva wa Dala Dala Juzi nadhani ‘ alikengeuka ‘ na akapita njia isiyoruhusiwa ya JW na bahati nzuri Gari lake lilikuwa halina Abiria na alipokamatwa nao wala hawakumpiga ila kulikuwa na Uwanja wa Mpira pembeni wakamuuliza kama Gari yake ina Mafuta ya kutosha na aliposema haina wakamuongezea na ikajaa ‘ Full Tank ‘ na akaambiwa auzunguke huo Uwanja kwa Spidi ya Magari ya Mashindano ya ‘ Langa Langa ‘ hadi yale Mafuta yaishe na akatii ‘ Amri ‘ na baadae wakamuachia ila sasa hivi kila akikaa tu anasema anasikia ‘ Kizunguzungu ‘ na harufu ya ‘ Petroli ‘ inatawala Puani na Ubongoni mwake.

Ni jana tu Rafiki yangu mmoja Mmachinga akiwa maeneo ya Ukonga nadhani nae labda ‘ alikengeuka ‘ akawa anapita eneo la FFU huku akiwa anapiga Kelele za Kutangaza Nguo zake alizobeba kumbe alikuwa ameingia sehemu isiyotakiwa Kelele na walipomkamata wala hawakumpiga ila alipewa Kazi ya Kukata Michongoma kwa Kutumia Mkasi wa Kunyolea Ndevu na ule wa Mafundi Cherehani zoezi ambalo hadi leo hajalikamilisha labda atalikamilisha Wiki ijayo.

Je kati ya MP na FFU nani ni ‘ Mafundi ‘ wa Kutoa Adhabu?

Nawasilisha.
 
Hivi mtu kama huna hoja kwanini usikae kimyaa, kwani lazima uandike. Halafu kwa miaka hii anayekubali kunyanyaswa na askari huyo ni mjinga.
Upo sahihi mada kama hizi niza kitoto wengine tulikuwa kunauliza na kujibiana katika haya tukiwa form one muda wa mapumziko tukipata mihogo. Sasa hivi MTU anapokuja na mada kama hizi unabaki kucheka kwa masikitiko
 
Nina Rafiki yangu mmoja ni Dereva wa Dala Dala Juzi nadhani ‘ alikengeuka ‘ na akapita njia isiyoruhusiwa ya JW na bahati nzuri Gari lake lilikuwa halina Abiria na alipokamatwa nao wala hawakumpiga ila kulikuwa na Uwanja wa Mpira pembeni wakamuuliza kama Gari yake ina Mafuta ya kutosha na aliposema haina wakamuongezea na ikajaa ‘ Full Tank ‘ na akaambiwa auzunguke huo Uwanja kwa Spidi ya Magari ya Mashindano ya ‘ Langa Langa ‘ hadi yale Mafuta yaishe na akatii ‘ Amri ‘ na baadae wakamuachia ila sasa hivi kila akikaa tu anasema anasikia ‘ Kizunguzungu ‘ na harufu ya ‘ Petroli ‘ inatawala Puani na Ubongoni mwake.
Ni jana tu Rafiki yangu mmoja Mmachinga akiwa maeneo ya Ukonga nadhani nae labda ‘ alikengeuka ‘ akawa anapita eneo la FFU huku akiwa anapiga Kelele za Kutangaza Nguo zake alizobeba kumbe alikuwa ameingia sehemu isiyotakiwa Kelele na walipomkamata wala hawakumpiga ila alipewa Kazi ya Kukata Michongoma kwa Kutumia Mkasi wa Kunyolea Ndevu na ule wa Mafundi Cherehani zoezi ambalo hadi leo hajalikamilisha labda atalikamilisha Wiki ijayo.
Je kati ya MP na FFU nani ni ‘ Mafundi ‘ wa Kutoa Adhabu?
Nawasilisha.
Acha uongo mpuuzi wewe. Sisi tumekulia kambini. Hizo adhabu mnazozisema hatujawahi hata kuziona zaidi ya kurukishwa kichurachura. Pumbavu kabisa kila mara unajitia kushobokea mambo ya majeshi yetu na serikali yetu.
 
Usiombe MP apewe amri na kuongozi wake wa juu akuadabishe, utajuta kwanini ulikuja hapa duniani, au mfanye fujo kambini waje mtatafutana, nilipiga kozi flani pale CU Kimbiji naujua mziki wao.
Kuadabishwa? Mahakama pekee Tanzania ndio ina mamlaka ya kuadabisha mtu, hao jamaa ni wa kawaida sana ukijiamini lakini usipijiamini utanyanyasika sana.
 
Acha uongo mpuuzi wewe. Sisi tumekulia kambini. Hizo adhabu mnazozisema hatujawahi hata kuziona zaidi ya kurukishwa kichurachura. Pumbavu kabisa kila mara unajitia kushobokea mambo ya majeshi yetu na serikali yetu.
Huyo jamaa ni jobless ambae anaishi maisha ya ndotoni, halafu kuna jirani yake ni mstaafu wa TISS huwa anamdanganya na yeye anakuja kuwadanganya wengine humu.
 
Bro mbona siku hizi unashuka sana mada zako, unafeli wapi,?
Jipange upya, wewe ni mtu muhimu sana humu jf,
Wewe jembe langu bro. Musoma brother.
Nina Rafiki yangu mmoja ni Dereva wa Dala Dala Juzi nadhani ‘ alikengeuka ‘ na akapita njia isiyoruhusiwa ya JW na bahati nzuri Gari lake lilikuwa halina Abiria na alipokamatwa nao wala hawakumpiga ila kulikuwa na Uwanja wa Mpira pembeni wakamuuliza kama Gari yake ina Mafuta ya kutosha na aliposema haina wakamuongezea na ikajaa ‘ Full Tank ‘ na akaambiwa auzunguke huo Uwanja kwa Spidi ya Magari ya Mashindano ya ‘ Langa Langa ‘ hadi yale Mafuta yaishe na akatii ‘ Amri ‘ na baadae wakamuachia ila sasa hivi kila akikaa tu anasema anasikia ‘ Kizunguzungu ‘ na harufu ya ‘ Petroli ‘ inatawala Puani na Ubongoni mwake.

Ni jana tu Rafiki yangu mmoja Mmachinga akiwa maeneo ya Ukonga nadhani nae labda ‘ alikengeuka ‘ akawa anapita eneo la FFU huku akiwa anapiga Kelele za Kutangaza Nguo zake alizobeba kumbe alikuwa ameingia sehemu isiyotakiwa Kelele na walipomkamata wala hawakumpiga ila alipewa Kazi ya Kukata Michongoma kwa Kutumia Mkasi wa Kunyolea Ndevu na ule wa Mafundi Cherehani zoezi ambalo hadi leo hajalikamilisha labda atalikamilisha Wiki ijayo.

Je kati ya MP na FFU nani ni ‘ Mafundi ‘ wa Kutoa Adhabu?

Nawasilisha.
 
Kuna konda wa mbagala-kawe alipakia eneo lisiloruhusiwa pale kambi ya abdallah twalipo, gari likaondoka yeye(konda) akabaki anasafisha mtaro alipewa na ufagio kabisa, baadae dereva anatuambia atampitia akiwa anarud kwan sio Mara ya kwanza kukutwa na adhabu hiyo
 
Nawaonea huruma walio ku- follow kwa kweli..

Na idadi yao ndiyo Kwanza inazidi tu Kuongezeka.

This is GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE a.k.a " Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer "
 
Nina Rafiki yangu mmoja ni Dereva wa Dala Dala Juzi nadhani ‘ alikengeuka ‘ na akapita njia isiyoruhusiwa ya JW na bahati nzuri Gari lake lilikuwa halina Abiria na alipokamatwa nao wala hawakumpiga ila kulikuwa na Uwanja wa Mpira pembeni wakamuuliza kama Gari yake ina Mafuta ya kutosha na aliposema haina wakamuongezea na ikajaa ‘ Full Tank ‘ na akaambiwa auzunguke huo Uwanja kwa Spidi ya Magari ya Mashindano ya ‘ Langa Langa ‘ hadi yale Mafuta yaishe na akatii ‘ Amri ‘ na baadae wakamuachia ila sasa hivi kila akikaa tu anasema anasikia ‘ Kizunguzungu ‘ na harufu ya ‘ Petroli ‘ inatawala Puani na Ubongoni mwake.

Ni jana tu Rafiki yangu mmoja Mmachinga akiwa maeneo ya Ukonga nadhani nae labda ‘ alikengeuka ‘ akawa anapita eneo la FFU huku akiwa anapiga Kelele za Kutangaza Nguo zake alizobeba kumbe alikuwa ameingia sehemu isiyotakiwa Kelele na walipomkamata wala hawakumpiga ila alipewa Kazi ya Kukata Michongoma kwa Kutumia Mkasi wa Kunyolea Ndevu na ule wa Mafundi Cherehani zoezi ambalo hadi leo hajalikamilisha labda atalikamilisha Wiki ijayo.

Je kati ya MP na FFU nani ni ‘ Mafundi ‘ wa Kutoa Adhabu?

Nawasilisha.

Wewe unaishi Bunda vijijini mambo ya Ukonga, Dar Slums unayajulia wapi?

Hivi ukisema hayo matukio yametokea Bunda, au Musoma mjini au Bugarika Mwanza kwa wakurya wenzako, utakuwa umepungukiwa na nini?..

Be proud of where ur coming from.
 
MP huwaga atumii Nguvu ni mwenda wa Adhabu tu lakini Ukitaka Atumie nguvu aisee...Nadhani hakuna rangi utaacha kuionaa wale wajinga ni motoo...!! Jeshini MP alikuwa haruhusiwi kumpa adhabu Ngurutu yani atakuua akati hajakupiga hata kofii..
 
Back
Top Bottom