Kati ya vitu sinaga shobo navyo ni mtoto wa kidume mwenzangu

instagram

JF-Expert Member
May 27, 2014
2,091
4,716
Kuna dada nilikuwa naye akaniacha akaenda kuzaa na jamaa mmoja ana watoto kibao na wadada kibao, akaachana huko leo ana maisha magumu atamani anitafute nimpe hata hela ya kula ila aibu imemjaa.

Halafu kuna dada ana mtoto amezaa na jamaa yake wa miaka mingi niko nae ila jamaa bado haja move on kila siku drama.

Sasa dada jipya dogo kalazwa billi kubwa dada jipya lawama kwangu na jamaa yake anadai hana hela nahisi anataka kisa niko na dada nigharamie billi ya mwanae.

Nahisi ndo muda nitumie hii opportunity ku move on to the next na kuwapa wazazi wa huyu mgonjwa nafasi ya kurudiana.
 
Msaidie dogo apone... Kisha waachie dogo akiwa mzima hilo lidada na hilo lijamaa...

Ila tulishakubaliana hadi tuone kaburi na kupima DNA ndio tujiachie na hao viumbe...
 
Back
Top Bottom