Kati ya vitabu vitamu nilivyowahi kuvisoma

proton pump

JF-Expert Member
Apr 30, 2017
5,324
6,857
Enzi nipo shule ya msingi nilikua napenda kusoma vitabu vyenye hadithi tamu sana ila ukiangalia vitabu vya enzi hizi hakuna kitabu kinachonipa hamasa ya kukisoma

Enzi hizo nilisoma hadithi kv tamu kv.
Sizitaki mbichi hizi.

Sadiki na chitemo

Mzee tola
Mua wazamisha meli bukoba

Faraja mchoyo.

We unakumbuka hadithi ipi iliokufurahisha enzi izo?
 
2f6f656fef1b33d9ae93619b8d81a27c.jpg
 
The black hermit by ngugi wa thion'go
Hiki sitakisahau story yake nzuri kweli means Changes is not an overnight process
Enzi nipo shule ya msingi nilikua napenda kusoma vitabu vyenye hadithi tamu sana ila ukiangalia vitabu vya enzi hizi hakuna kitabu kinachonipa hamasa ya kukisoma

Enzi hizo nilisoma hadithi kv tamu kv.
Sizitaki mbichi hizi.

Sadiki na chitemo

Mzee tola
Mua wazamisha meli bukoba

Faraja mchoyo.

We unakumbuka hadithi ipi iliokufurahisha enzi izo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom