Kati ya Toyota Raum na Toyota Ractis ninunue ipi?

raum mkuu toyota ractis huwa zinasumbua sana gear box hasa kwenye mfumo wa gia

karibu sana jerry empire tukupatie gari ya ndoto yako kwa gharama nafuu na zenye ubora tupo ilala dar es salaam
0623953036
0659756647

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kudanganya watu kuwa zinasumbua gear box huo ni ushamba na ulimbukeni.Hizi gar Ractis wabongo wanazikosea oil zake tu wanapenda kitonga.Ila ukiwa makini kuweka oil yake gari haisumbui yaan gari isisumbuwe japani ije kusumbuwa bongo huoni kama kuna tatizo.Acheni kutisha watu.

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Ractis ni gari zuri kwa aina ya magari madogo.
 
Back
Top Bottom