Faru12
JF-Expert Member
- Jun 24, 2014
- 391
- 235
Aiseesometime ni vizuri kujua kitu unachotaka kununua,hasa cha hela nyingi kidogo,kwa kuuliza kwa watalaam na wazoefu(utafiti mdogo),kuna rafiki yangu mtu wa kuunga unga tu,alinunua gari 2milion,kumbe ni 4000cc,alijuta sana..