Kati ya tbc1, itv, star tv na channel ten...yupi ni msaada wa kweli kwa jamii ya tz????

BJEVI

JF-Expert Member
Jan 19, 2011
1,359
250
Ndugu zangu wana JF kwa muda mrefu nimekuwa nikifuatilia jinsi vituo vya TV vinavyoripoti matukio mbalimbali yanayoyahusu jamii ya TZ.,La kushangaza ni kuwa Kuripoti Kunatofautiana sanaa.Hakika kuna vituo vina DHIMA NZURI kama vile UKWELI NA UHAKIKA.. KIOO CHA JAMII..n.k

Lakini ni danganya toto.. kwanini penye ukweli au habari inawahusu watawala huwa kuna upendeleo? ..Je! wanajamii tukimbilie kwa nani??..

NAWASILISHA.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom