KATI YA SUA,MZUMBE,MUCCOBs,UDSM,SAUTna UDSM KIPI CHUO BORA NA KWA SABABU GANI? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

KATI YA SUA,MZUMBE,MUCCOBs,UDSM,SAUTna UDSM KIPI CHUO BORA NA KWA SABABU GANI?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Advocate J, Jul 19, 2012.

 1. Advocate J

  Advocate J JF-Expert Member

  #1
  Jul 19, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 3,880
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  wan jf ninaomba michango yenu juu ya hilo la ubora wa hivyo vyuo hapo juu na sababu ya ubora wake il tukat mziz wa fitin
   
 2. a

  amyna m Member

  #2
  Jul 19, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Hakuna kilocho bora....

  Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
   
 3. kinyoba

  kinyoba JF-Expert Member

  #3
  Jul 19, 2012
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 1,238
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Ubora unatoka kwa msomaji mwenyewe na sio chuo. Kuna thread uliletwa hapa Ina title "DIGREE ZA CHUPI......!!!
   
 4. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #4
  Jul 19, 2012
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,198
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Tulishasema huko nyuma maswali kama haya hayasaidii chochote kudumisha elimu yetu...Tafuta post za nyuma utajua kipi ni Chuo bora vinginevyo waombe TCU wafanye hiyo kazi.
   
 5. YEYE

  YEYE JF-Expert Member

  #5
  Jul 19, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 440
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ukate mzizi wa fitina we na nani? Hamna ligi za kipuuzi ka kushindanisha vyuo hasa hivi vya Tanzania. Chuo bora ni wewe mwenyewe.. Kama umetoka na msingi mbovu toka primary hata ukasome Harvard ni bure..
   
 6. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #6
  Jul 19, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Nazani udsm,sua,ardhi,muhimbili,mzumbe,ndo viko hot.
   
 7. f

  fidelis zul zorander JF-Expert Member

  #7
  Jul 19, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 679
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  vyuo vina kuwa graded kwa ubora kwa course zinazotoa mfano muhimbili ni bora kwa medicine n pharmacy, sua ni bora kwa agriculture mzumbe kwa mambo ya biashara nk, huwezi kushindanisha ubora wa vyuo wakati hazitoi course moja au zenye facult tofauti, Badili hilo swali lako maana halina mantiki yoyote
   
 8. t

  thatha JF-Expert Member

  #8
  Jul 19, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  afu we unamawazo ya kitoto,au ndo nyinyi mlikuwa mnashindana eti mi wa kwanza mpaka f V1. dogo kuwa basi!!
   
 9. MFYU

  MFYU JF-Expert Member

  #9
  Jul 19, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 507
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  ..dah,chuo ni chuo tu,ata cha kata we piGA tu
   
 10. E

  EJay JF-Expert Member

  #10
  Jul 19, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 694
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  kweli mkuu,
   
 11. only83

  only83 JF-Expert Member

  #11
  Jul 19, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Huu ni utoto.
   
 12. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #12
  Jul 20, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Chuo bora ni kichwa yako tu.
   
 13. s

  siwalaze Senior Member

  #13
  Jul 20, 2012
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 124
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Watoto utawajua kwa maneno yao na mawazo yao!! Ficha Upumbavu wako ndugu,ni muhimu kila mtu akajua kuwa una busara kuliko kila mtu akijua kuwa wewe ni mpumbavu!!!!
  Ningalikuwa na matusi,ningesema,"Wewe ni mpumbavu"
   
 14. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #14
  Jul 20, 2012
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 6,027
  Likes Received: 2,866
  Trophy Points: 280
  Mweeeh!!
   
 15. Vanpopeye

  Vanpopeye JF-Expert Member

  #15
  Jul 20, 2012
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 600
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  saaaaaafyyyy :)
   
 16. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #16
  Jul 20, 2012
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Mpigamsuli, tunahitaji sana constructive contribution kutoka kwako na si maswali au mawazo yasiyo na faida.
  Tukusaidie kukujibu kuwa, Vyuo Vikuu vyote viko sawa baada ya kupata Ithibati ya NACTE, kozi zote lazima zitambuliwe na kusajiliwa na NACTE ili kutambulika. Kwa hiyo, hakuna chuo bora kuliko kingine ktk soko la ajira ila kuna products bora za vyuo hivyo.
   
 17. The_Emperor

  The_Emperor JF-Expert Member

  #17
  Jul 20, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 884
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Piga chuo chochote...halafu njoo mtaani kama ukifanikiwa basi hicho chuo ndio bora!
   
 18. ze duduz

  ze duduz JF-Expert Member

  #18
  Jul 20, 2012
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 864
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  HOPE udsm is the best of all.!! Hata ukimuuliza mzee yeyote alioko kijijini kwenu swali kama hili bila kusita atakuambia ni "MLIMANI" So udsm is the best Followed by hurbert kahiruk then vingne vinafuata..kwa uthibitisho zaid nenda google then u search the best universty in africa.. Then utapata majibu
   
 19. Wi-Fi

  Wi-Fi JF-Expert Member

  #19
  Jul 20, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,070
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  Chuo bora kiko mtaani, we piga huo msuli at last you'll get to know!
   
 20. ze duduz

  ze duduz JF-Expert Member

  #20
  Jul 20, 2012
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 864
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  mmh leo naona mmemwakia huyu dogo..! Leo mme m crush mwanzo mwisho
   
Loading...