Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 19,407
- 25,926
SijuiJua sasa katulie tuli
SijuiJua sasa katulie tuli
Haaaa😀😀Usimlimganishe wizkid na utopolo
Niajui inamaana hujawahi kusikiliza Fall,if,blow my mind za davido?Kidayo sio wa mchezo
Ghetto love nadhani unaijua
Wewe elewa starboy ni moto mwingineNiajui inamaana hujawahi kusikiliza Fall,if,blow my mind za davido?
😁Wewe elewa starboy ni moto mwingine
Utajua mdogomdogo ngoja TUONYESHANE makaliSijui
Hapo wimbo ni fall tu, huo mwingine ni utopolo kiwango Cha SGR pamoja na HD.Niajui inamaana hujawahi kusikiliza Fall,if,blow my mind za davido?
Fact Kama anabisha akasikilize wimbo wa FEM Mpya wa davido unaweza kusema kweli hapa Kuna msanii yaani hamna kitu zaidi ya utopolo grade 1.Wewe elewa starboy ni moto mwingine
Una ubishi wa kizaman sanaFact Kama anabisha akasikilize wimbo wa FEM Mpya wa davido unaweza kusema kweli hapa Kuna msanii yaani hamna kitu zaidi ya utopolo grade 1.
Sawa karibu sanaUna ubishi wa kizaman sana
Wizkid ndo baba lao sawa dogoDavido habar nyingine
Maono yako Siyo yangu anti.Wizkid ndo baba lao sawa dogo
NimekupendaZuchu
Ok star BoyMaono yako Siyo yangu anti.
True Wizkid kaanza kujiita Starboy 2013/14 kabla huyo The Weekend hajatoka,kipindi hiko yupo chini ya Bank W.
Tizama hiyo nyimbo yake ya On Top your matter (2014),mwanzoni kabisa utaona Starboy.