Kati ya Salmon na Nile Perch (Sangara) yupi ana Omega 3 fatty acids kuliko mwenzie?

Manelezu

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
1,907
2,768
Ni swali na wale wenye uelewa mpana naomba msaada. Nimejaribu kusoma various articles kuhusu hawa samaki wawili, Salmon anayepatikani baharini na Nile perch yupo ana high concentration ya Omega 3 fatty acids? Kuna wengine wana sema salmon kuna wengine wana sema Nile perch.

Kwa wale wenye uelewa mpana with scientific evidence sio hisia or personal opinion without scientific evidence. Msaada please.
 
Mada nzuri sana. Ni wakati wa taasisi zetu kuamka na kufanya utafiti wa vyakula ili kuleta mrejesho kwa taifa kwenye chakula na lishe. Hi ni kwa afya ya wananchi itasaidia kuboresha afya ya mwili
 
Kuna sehemu niliona youtube kuwa Salmon ana virutubisho vingi kuliko kitoweo chochote cha majini akiwa nyuma kuku,ng'ombe na nguruwe mwanasayansi Wa gym alikuwa anaelezea.
Mada nzuri sana. Ni wakati wa taasisi zetu kuamka na kufanya utafiti wa vyakula ili kuleta mrejesho kwa taifa kwenye chakula na lishe. Hi ni kwa afya ya wananchi itasaidia kuboresha afya ya mwili
 
Back
Top Bottom