Kati ya Ractis, IST au Premio wapi pazuri pa kujiweka zama hizi?

dalalitz

JF-Expert Member
Sep 6, 2013
3,332
1,862
Mimi si mjuzi wa upande huu lakini najua tunao wabobezi hapa.

Jamaa yangu anauliza ajiweke wapi pazuri zaidi kati ya Gari hizo tajwa?

Ufafanuzi wa faida na hasara zinazozitofautisha hizi tafadhali kwa anaezijua haswa na ushauri wowote

Mchango wako chanya utashukuriwa.
 
Wadau mngetoa sababu ingependeza maana lengo ni kujua ipi unadhani ni bora zaidi na kwa sababu ipi?
 
IST kama anataka akae nalo miaka yote. Ila kama ataendesha miaka 1-2 kisha anataka kuuza atauza kwa hasara sana.

Premio kama atauza hivi karibuni (labda ndani ya miaka 3). Premio resale value yake ipo vile vile.

Hiyo Ractis sijui ata kwanini ameifikiria.

Ila gari zote nzuri, spare zinapatikana kwa urahisi, mafundi ata chini ya mwembe wapo, kwa ufupi operations and maintenance ni cheaper.
 
Nini shida ya Ractis mkuu?
 
IST iko poa sana kwa ulaji wa mafuta na spare pia. Kama unawasikiliza matajiri wa mtogole na msemo wao wa bongo walatakuambia gari ya kike,basi kamua Primio japo naamini hii itakuwa juu kidogo.
 
Kama kawaida yetu watanzania.

Wewe unataka kuoa mke Kisha unataka watu wakuchagulie mke utaishi nae kweli au akisumbua kidogo unaanza unaona mke mlionipa?

Rule of thumb, chukua chaguo lako. Ractis na IST ni kitu kimoja body morphology tu ndio utofauti. Lakini Ractis Ina nafasi kubwa zaidi ndani kuliko IST. Changamoto kubwa Ractis ipo Chini Sana kuliko IST kwa hiyo Kama unakaa sehemu yenye off road IST is the best.

Mafuta hizo gari mbili is best of all variants ulizotaja.

Premio ni gari nzuri na body IPO poa na inadumu kuliko hizo IST na Ractis hasa katika mazingira magumu. Spare gharama zake zipo sawa tu IST/Ractis utofauti mkubwa ni utumiaji mafuta.

Sasa amua mwenyewe unataka Nini.

Kama ni mwanamke mwenye makalio au sura nzuri au mguu wa chupa vigezo unavyo wewe Wala sio sisi
 
Sometime huwa nashindwa kuelewa!
Let consider this.
IST, RACTIS, PREMIOR zikiwa zote ni 1490 cc.
Inamaana fuel consumption zitakuwa Zote sawa ila tofaut hapo ni Comfortability tuh.
Premior is the best ikifuatiw na Ist but Ractis siyo nzuri sana Bcoz Stability yake ipo low ikishafika speed 120km/hr
 
Uzito wa gari na aerodynamics unatofautiana.
 
Sometime huwa nashindwa kuelewa!
Let consider this.
IST, RACTIS, PREMIOR zikiwa zote ni 1490 cc.
Inamaana fuel consumption zitakuwa Zote sawa ila tofaut hapo ni Comfortability tuh.
Premior is the best ikifuatiw na Ist but Ractis siyo nzuri sana Bcoz Stability yake ipo low ikishafika speed 120km/hr
Katika hizo zote Ractis ndio best kwenye fuel consumption,na hata uwezo pia kwa sababu gearbox ya Ractis ni cvt, gear box ya Ractis ni kubwa kuliko hizo gari mbili
 
Back
Top Bottom