Kati ya Professor, Michael Scofield na Walter White nani alitumia akili ya juu?

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
20200515_183743_0000.png


Kama wewe ni mpenzi wa filamu basi lazima utakuwa umewahi kuangalia filamu zilizotengenezwa na kuwapa wahusika wakuu nafasi ya kucheza kama watu wenye uwezo wa juu wa kufikiri

Leo tuwaangalie wahusika nyota 3 ambapi wa kwanza ni Professor; huyu amecheza kwenye filamu ya Money Heist. Kupitia Money Heist, Professor amecheza kama mtu mwenye akili za juu sana kwa kupanga mambo na kuyetekeleza kwa kuwatumia wahusika wengine

Mwingine ni Michael Scofield aliyejizolea umaarufu kupitia Prison Break. Alicheza nafasi ya mtu anayetumia akili nyingi kusuka mipango ya kufanikisha Wafungwa 6 kutoroka Gerezani

Na watatu ni Walter White aliyewika Katika Breaking Bad. Hakutaka kufariki akiwa masikini na kuiacha familia yake katika umasikini. Alianzisha biashara ya #DawaZaKulevya na kuwa mfanyabiashara mkubwa sana. Alitumia silaha na akili nyingi kufanikisha mambo yake

==========

If you are a fan of television series, you must have heard about these guys. They are fictional characters and are known for their high intelligent quotient, smartness and ability to solve problems. They are genius and one thing they have in common is involving themselves in crime. There have been arguments on who is smarter, and I'm here today to know your opinions.

The first person in the image above is the Professor; he is one of the main characters in Money heist. Beside him is Michael Scofield of Prison Break, and the last guy is Walter White in Breaking Bad. These guys are great mastermind and they all found great ways to create a solution and get themselves out of a problem. Let's look at each of them.

Professor

He had a mad plan, an almost impossible task and he made it successful. The plan was to rob the royal mint of Spain, so he put together eight people to aid his mission. He didn't enter the Mint, but he was outside covering the whole thing. The professor spent so much time figuring how everything will go, what the police would do and what they wouldn't do. Although there were times things didn't go as expected, but at the end, he did the impossible. Millions of cash were printed and they made away with it. That was just the beginning. Currently, he is on a mission to rob the bank of Spain. The whole nation is aware of what he's doing and getting out of the situation is impossible, but being one of the great mastermind, it might be possible.

Michael Scofield

This is another character with a great mastermind. His brother was arrested and sentenced to death for a crime he didn't commit. The sentencing was delayed and fixed to a particular date, giving Scofield the chance to figure out a way to break his brother out of prison. Yes, you heard that right. The prison was well protected; it was almost impossible to escape. In fact, those that tried ended up dead or caught. Scofield found a way to get himself to the prison and didn't only break out of there with his brother but with six other people. Breaking out was the easiest part, surviving outside with the whole police force after you was really hard. This guy still found a way.

Walter White

He was dying and broke. He didn't want his family to remain broke if he passed on, so he engaged himself in a dirty business to fetch money. Walter started producing drugs for some drug dealers and later advanced in his deals. Being a drug dealer wasn't easy. People die always and Walter being a newbie killed a lot of them. He hardly used weapon; he believed in chemistry. It was his weapon and greatest strength. Walter was able to rise from just a drug producer to one of the most feared drug dealers and all the police force were after him. His plans were always accurate and the old man survived for a long time.

Which of these three is the greatest mastermind? Let me know in the comment section below.
 
Hapa bongo kuna jamaa alikuwa anaitwa sele, akili zake na mikakati ya kusuka dili hao wazungu wakasome jamaa alikuwa kichwa aliwahi kupita na mamilioni ya mshahara pale bully
 
Nilichoona ni masuala ya maisha tu ndio yaliyomo kwenye Breaking bad ila PB itabaki kua juu. Kwa jinsi maiko anavyoweza deal na mtukio tata hata Jack Baur hamfikii.
Heshima na Utukufu kwake Paul Stcheuling kwa kututengenezea character yeneye akili kubwa kama Michael Scolfied

Una gari?
 
Labda ungeuliza nani mwenye akili zaidi baina ya watunzi wa hizo movie! Hawa wajomba walipewa tu waigize hakuna akili waliyotumia.

Nawapa heko watunzi wao.
 
Michael S. Ni muigizaji mzuri akionesha upendo wa dhati kwa kaka,rafiki,hata watu ambao hakuwa na undugu nao. Ametufundisha kumtumia mtu kulingana na uwezo na akili yake.

Proffesor. Si mbaya sana ila ameonesha uoga hadi kufikia hatua ya kutetemeka pale ambapo mipango yake inapotaka kuvurugika, bakumbuka wkt mwingine nilikuwa natamani hata kuzima ili nisione tukio baya ambalo lingemkuta (kwasababu uoga wake ulijifanya na mimi niingie uoga)

Huyo mbaba wa tatu simjui OVA
 
Nimejaribu kuifuatilia Money Heist baada ya kusikia sifa zake. Nimeipenda na kweli Profesa ametengenezwa kuaminika ni mtu mwenye akili katika mipango yake. Lengo limefikiwa.

Lakini bado, Michael ni habari nyingine. Vile viwango viliwekwa juu sana pale. Sana.

Kuhusu Mzee wa Kemia msimamo wangu uko pale pale. Hakuna kitu mule.
 
Labda ungeuliza nani mwenye akili zaidi baina ya watunzi wa hizo movie! Hawa wajomba walipewa tu waigize hakuna akili waliyotumia.

Nawapa heko watunzi wao.
Ndiyo sababu hajawataja kwa majina yao halisi bali characters. Kitu ambacho ni dhahiri credit nyingi zaidi zinaenda kwa watunzi. Japo waigizaji pia wanastahili pongezi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom