Kati ya onepus N100 na redmi 9

Apa wale wapenzi wa SD lazima wakurushie mawe

Huwezi fananisha MTK na SD
Redmi 9 nzuri zaidi, ina Full HD display na pia Helio G80 ni nzuri kuliko SD 460.

Sema Angalia Redmi 9T sometime inakuwa bei sawa na redmi 9, 9T ni nzuri zaidi.
 
Seller gani anauza bei hiyo?
Naomba link kama hutojali.
Kenya Mkuu Jumia ama avechi unapata hio bei.

Ila Tigoshop walishusha bei za Redmi, Jaribu kucheki kama 9T ilishuka, maana redmi 9 ni 280k tu Tigoshop.
 
Apa wale wapenzi wa SD lazima wakurushie mawe

Huwezi fananisha MTK na SD
Kuna msemo ukila Nguruwe chagua alienona,

Kikawaida mtk na sd zikiwa na nguvu sawa chagua sd sababu zipo more optimized, drivers za uhakika na mambo mengi mazuri.

Ila kuna wakati unakuta at same price point Mtk inakuwa na nguvu sana kuliko competition kama hii situation ya Redmi 9, inauzwa 280k Tigoshop, Hakuna simu yoyote Duniani mpya itakupa Value zaidi kwa hii pricepoint.

Equivalent ya helio G80 ni snapdragon 660/665/662 na simu zake mpya ni kama hio redmi 9T ambayo inapatikana kama 50,000 zaidi.
 
Labda wawe wamebadili sasa hivi ila redmi za Tigo hazina lock, unaweka line yoyote unayotaka. Ni kama unanunua tu Dukani.
mkuu nahitaji kunununua redmi note 10 pro kwa kutumia avechi....upande wa manunuz unanipa shida kidg na nataka ninunue leo kesho ama jumamos niipate...msaada tutani
 
mkuu nahitaji kunununua redmi note 10 pro kwa kutumia avechi....upande wa manunuz unanipa shida kidg na nataka ninunue leo kesho ama jumamos niipate...msaada tutani
Mkuu umekwama wapi?

Nilisoma wadau humu wanasema wanaleta kwa 2500 (50,000 fee)

Pia umeangalia Tigoshop? Redmi ni bei rahisi sana Tigo, sometime rahisi kuliko Kenya.
 
Mkuu umekwama wapi?

Nilisoma wadau humu wanasema wanaleta kwa 2500 (50,000 fee)

Pia umeangalia Tigoshop? Redmi ni bei rahisi sana Tigo, sometime rahisi kuliko Kenya.
Tigo nimechek kweny web yo ni 750 wakat kenya ni laki 6 hiv na kitu pamoja na usafiri...

wanadai wanapiga simu kwaajili ya confirmation lakin hawapig na kulipa kwa mpesa yao inagoma
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom