Kati ya Nyumbu na pimbi Nani Ni boya sana

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,553
44,719
Wakuu Nina swali hapa Kati ya Hawa wanyama wawili nyumbu na pimbi Nani amekaa kiwaki sana(kifaler faler)
images%20(9).jpeg
images%20(10).jpeg
 

Attachments

  • images%20(10)~2.jpeg
    images%20(10)~2.jpeg
    23 KB · Views: 37
  • images%20(10)~2.jpeg
    images%20(10)~2.jpeg
    23 KB · Views: 31
Nyumbu anaona ishara ya mamba bado anajipeleka kwenye maji na kupoteza maisha . Ni fala kweli kweli !! Yanashindwa hata kuungana na kumkabidhi simba ! Usiniite nyumbu !!

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom