GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 59,949
- 119,214
Nimekuwa nikifuatilia sana uongeaji wa hawa akina Dada wawili mmoja akiwa ni kutoka ' Majuu ' ( Marekani ) nikimaanisha Mwanamuziki Nick Minaj na mwingine akiwa anatoka ' Uswahilini ' ( Tanzania ) nikimaanisha Mrembo na Msanii Wema Sepetu na kugundua ya kwamba wanafanana mno ' Kilafudhi / Accents ' hali ambayo imenifanya nihisi kuwa lazima tu kuna mmoja wao ' amemuigia ' mwenzie.
Je kati na Nick Minaj na Wema Sepetu nani kamuiga mwenzie kuongea hali ambayo inafanya lafudhi / accents zao zifanane?
Nawasilisha na karibuni ' mtiririke ' na ikiwezekana hadi ' mserereke ' kabisa.
Je kati na Nick Minaj na Wema Sepetu nani kamuiga mwenzie kuongea hali ambayo inafanya lafudhi / accents zao zifanane?
Nawasilisha na karibuni ' mtiririke ' na ikiwezekana hadi ' mserereke ' kabisa.