Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,586
- 50,683
Jana nilisikia kisa kimoja clouds fm kuwa mwanaume alikuwa anaishi na mwanamke lkni hawakufunga ndoa baadae mwanaume akaanza kuumwa na mwanamke ndie aliyemhudumia mwanaume mpka akafariki..so mwanaume Aliuona moyo na msaada wa yule dada akasema siku akifariki mwanamke achukue vitu vya ndani vimsaidie kuanza maisha maana ndivyo vitu alivyobakiza pekee baada ya kujiuguza kwa muda...Sio kwamba inategemea!??
Je ikitokea kati ya mke kuna mapenzi ya kweli!??bado utasema ndugu atakuwa na uchungu zaidi!??
Mfano mke na mume waliokaa kwenye ndoa zaidi ya miaka 20
Na hapo ndugu zake walikuwepo lkni mtu Baki (mwanamke ndie kaonesha upendo)so ukitoa watoto...mtu yeyote anaekupenda,kukuthamini na kukujali ndie atakuwa na uchungu na wewe kwa wakati huo.