Kati ya Mwenyekiti wa Halmashauri na Mkurugenzi wa Halmashauri ni nani bosi wa mwenzie?

Wewe ni mjinga wa nwisho kati ya wajinga,kichwa cha habari umetaka kujua nani mkubwa kwa mwenzie kati ya Mwenyekiti wa Halmashauri na Mkurugenzi wa Halmashauri

Kwenye uzi ukabadilisha gia angani kwa kutaka kujua kati ya Mayor na DED nani anaweza "kumwamukisha" mwezake.

Sasa unataka usaidiwe kujua lipi we mbadili mbadilisha gia angani?

Nyambafu kweli kweli wewe.
Wakuu.

Kati ya Mayor na DED nani mkubwa kwa mwenzie , nani anaweza kumwamulisha mwenzie /kumpa maelekezo kikazi ?

Nawasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ni mjinga wa nwisho kati ya wajinga,kichwa cha habari umetaka kujua nani mkubwa kwa mwenzie kati ya Mwenyekiti wa Halmashauri na Mkurugenzi wa Halmashauri

Kwenye uzi ukabadilisha gia angani kwa kutaka kujua kati ya Mayor na DED nani anaweza "kumwamukisha" mwezake.

Sasa unataka usaidiwe kujua lipi we mbadili mbadilisha gia angani?

Nyambafu kweli kweli wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu mwerevu, jamaa hajasema "kumwamukisha" amesema "kumwamulisha".
 
Tumsaidie tu kuwa Mwenyekiti ndio boss, pia tumsahihishihishe kuwa ukishasema Mwenyekiti hawa wako Halmashaur tu kwenye miji na majiji ndio kuna mayor, na DED ni Mkurugenzi wa Halmashaur ya wilaya Sio kila Halmashaur ni ya wilaya no kuna ya jiji, mji, Manispaa na hiyo Ya wilaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mwenyekiti akiwa anatoka chama tawala anaweza kuwa anamkolomea mkurugenzi, na mkurugenzi ananyamaza.

mtajua nani mkubwa kama mwenyekiti anatoka nje ya chama tawala.

mkurugenzi wa halmashauri ndiye mwenye halmashauri, akiwa kichwa kibovu anaweza kumnyima hata mafuta huyo mwenyekiti.
 
Nahisi hapa tunahitaji semina elekezi, ili kujua kazi na majukumu ya kila mmoja wa hawa.. Siamini kutokana na position zao, unaweza kusema huyu ni bosi wa yule.. Kawaida inatakiwa Mwenyekiti/Mayor awe ni mwanasiasa aliechaguliwa na wanasiasa wenzie, na DED ni mtendaji, alieteuliwa na mamlaka za kiserikali..

Ngurudoto inatuhusu hapa:D:D
 
Acha uzushi we mkurugenzi unajitapa tu...yaan hujui kabisa local council authority,kuwa accounter officer hana maana kuwa wew ndo top.Hata mafuta yapo kwenye budget ya council hvy MD ni mtekelezaji.Hiv hujui local council wanaweza kumuondoa mkurugenzi kwenye madaraka na kumrejesha kwa mteuz?Vingnevyo iwe na uhuni wa ccm kutumia mapolisi
 
Wewe ni mjinga wa nwisho kati ya wajinga,kichwa cha habari umetaka kujua nani mkubwa kwa mwenzie kati ya Mwenyekiti wa Halmashauri na Mkurugenzi wa Halmashauri

Kwenye uzi ukabadilisha gia angani kwa kutaka kujua kati ya Mayor na DED nani anaweza "kumwamukisha" mwezake.

Sasa unataka usaidiwe kujua lipi we mbadili mbadilisha gia angani?

Nyambafu kweli kweli wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu mwerevu wewe ndiye mpumbavu wa mwisho wa Reli huyu anayemwita mjinga yuko Sahihi. Mwenyekiti wa Halmashauri Ndiyo huyo kwenye Manispaa au Jiji anaitwa Meya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jinga sana wewe,hata hujaelewa kama mleta uzi amechanganya madafu.

Soma kwa makini sana post # 5 ya Stella 1975 ndio utaelewa hasa maantiki ya uzi na unachokisema wewe.

Haraka ya nini kujibu kama hujaelewa maantiki?Au ulikuwa unaelekea kukata gogo?

Ndugu mwerevu wewe ndiye mpumbavu wa mwisho wa Reli huyu anayemwita mjinga yuko Sahihi. Mwenyekiti wa Halmashauri Ndiyo huyo kwenye Manispaa au Jiji anaitwa Meya.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ni mjinga wa nwisho kati ya wajinga,kichwa cha habari umetaka kujua nani mkubwa kwa mwenzie kati ya Mwenyekiti wa Halmashauri na Mkurugenzi wa Halmashauri

Kwenye uzi ukabadilisha gia angani kwa kutaka kujua kati ya Mayor na DED nani anaweza "kumwamukisha" mwezake.

Sasa unataka usaidiwe kujua lipi we mbadili mbadilisha gia angani?

Nyambafu kweli kweli wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umetumia nguvu nyingi sana mbona mwenyekiti wa council na mayor ni kitu kilekile mkuu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bosi ni yule mwenye halmashauri ili kumjua mwenye halmashauri ni yule mwenyekiti wa kikao Cha juu na cha mwisho kwenye halmashauri husika.
 
Lakini hiyo sio kwa jiji la Dar, jiji la Arusha, Munispal ya Iringa, Kigoma/Ujiji na maeneo mengine ambayo halmashauri zimekamatwa na upinzani.
Jiulize kwa nini?
 
Nahisi hapa tunahitaji semina elekezi, ili kujua kazi na majukumu ya kila mmoja wa hawa.. Siamini kutokana na position zao, unaweza kusema huyu ni bosi wa yule.. Kawaida inatakiwa Mwenyekiti/Mayor awe ni mwanasiasa aliechaguliwa na wanasiasa wenzie, na DED ni mtendaji, alieteuliwa na mamlaka za kiserikali..

Ngurudoto inatuhusu hapa:D:D
Semina gani Ndugu Kwa Jambo dogo hili? Wewe kaa ukijua kuwa popote pale penye kundi Fulani au kikundi, au kwenye msafara au kwenye mkusanyiko wowote ule au palipo na uongozi popote pale cheo cha kwenyekiti ndicho cheo cha mwisho kimmlaka, mwenyekit ndie mwenye mamlaka ya mwisho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ni mjinga wa nwisho kati ya wajinga,kichwa cha habari umetaka kujua nani mkubwa kwa mwenzie kati ya Mwenyekiti wa Halmashauri na Mkurugenzi wa Halmashauri

Kwenye uzi ukabadilisha gia angani kwa kutaka kujua kati ya Mayor na DED nani anaweza "kumwamukisha" mwezake.

Sasa unataka usaidiwe kujua lipi we mbadili mbadilisha gia angani?

Nyambafu kweli kweli wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa sijui nani mjinga sasa......mi nmeona tofauti, samahan lakin ndg mwerevu
 
Back
Top Bottom