Kati ya Mwanaume na Mwanamke, ni yupi kama mtoto?

SubTopic

Member
Sep 15, 2021
78
88
Katika semina wanazopeana wanawake huwa na msemo huu, ya kuwa mwanaume ni kama mtoto wakiwa na maana ya kwamba ili umuweze mwanaume inakubidi uishi naye kama unaishi na mtoto yani mambo ya kubembeleza n.k

Lakini si kwa wanawake tu hata sisi wanaume tunapokutana kupeana semina huwa tunaambiwa ya kuwa mwanamke ni kama mtoto yani hata ukimletea zawadi ya pipi tu anaridhikika!Uk

Ukweli halisi ni upi? kati ya mwanaume na mwanamke yupi ni kama mtoto? mwanaume au mwanamke?
tusaidiane hapo.
 
utandawazi ndugu mambo mengine unakutana nayo youtube hata bila kupanga
 
mafunzo au elimu inayotolewa inayokuwa na mada maalum inayolengwa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom