Kati ya mwanamke na NIDA nani huchelewa kutoa namba?

lossoJR

JF-Expert Member
Oct 11, 2012
2,711
2,382
Sometime wakinadada mnaboaa.

Watu tunakuwa serious (kuboresha mawasiliano) ila mnaletaga nyodo sana.
Waswahili walisema kubali wito kataa maneno maana yake we toa namba utachagua wewe kumsuport mwamba au la.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiv mbn hata lain hazijafngiwa sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
Bado tunafanya makeke mzee.. Tukimaliza tutafunga
IMG-20200121-WA0070.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom