Mimi ningetamani niwe na jinsia zote mbili (jike dume)
Zote nazihitaji sawiaukiwajike dume, MOJA LAZIMA IWE ACTIVE ZAIDI. Ipi bukheri kwako?
Sijui kuwa mwanaume hivyo kwanini nitamani?
Mimi naona kwa idadi ya mashoga inavyoongezeka kila siku, nafikiri wanaume wanatamani kuwa wanawake japo kmoyo moyo.
Hereni masikioni, G'string (nenda JF photos utapata ushahidi), magauni (kanzu) na kadhalika mbili!
I think you are both right, since I hear more stories about M2F transexuals than F2MWanaume ndio wataongoza kukataa jinsia yao kwa sababu zifuatazo.
- Mila na desturi zimeweka mazingira ya mwanaume ni lazima ajitume na awajibike ipasavo katika jamii na ndani ya familia yake. Hili kwa wanaume wavivu na lege lege ni mtihani kwa kweli, nahisi wengi wao hutamani bora wangezaliwa wanawake; Hivo nam support Kaunga hapo juu.
- Tokana na maadili kubadilika na kitendo cha kuingiliwa kinyume cha maumbile kukua, inafanya idadi ya wanaogeuzwa na wanaume wenzao kuongezeka. Hilo linafanya wengi wa wanaoingiliwa kujifanya wanawake hasa kwa kuji visha na kujipamba na mavazi ya kike.
- Wanawake we have it all... Mwenyezi Mungu katujalia nguvu ya ajabu na pia katupendelea kwa kutupatia wajibu wa kubeba viumbe (kike kwa kiume) kwa miezi 9 tumboni na kisha kuzaa... Hio ni moja ya sababu; tamaa ya kufikiria kuwa apitie na kuona namna gani inakuwa ukiwa mwanamke.
- Diversity... Kuna vitu wanawake tunaweza kufanya ambavo wanaume hawawezi.... Whereas kwa wanawake kwa kiasi kikubwa tunaweza kufanya yale ambayo wanaume wanafanya....
Kwa mtazamo wangu hizo ni baadhi ya sababu.
niambie saluni ipi nzuri, nataka nisuke kama avatar ya kaka flani stamtaja kuepuka shari lol.Tena nilisahau, mnapendezaga mkisuka nywele!
Sijui kuwa mwanaume hivyo kwanini nitamani?
Mimi naona kwa idadi ya mashoga inavyoongezeka kila siku, nafikiri wanaume wanatamani kuwa wanawake japo kmoyo moyo.
Hereni masikioni, G'string (nenda JF photos utapata ushahidi), magauni (kanzu) na kadhalika mbili!
Naona Mnajidanganya nyie wote, Mwanamke ni mtawaliwa haswa ndani ya nyumba hata kama ana kila kitu bado inambidi amtii mumewe tuuuuuuuuuuuuuuuuu. Sijui nyinyi ila mimi Najivunia uanaume wangu na Kamwe siwezi hata tamani kuwa demu. Yaaaakkk! Yaani mimi Demu!!!! Hata kufikiria sifikirii. Na wala sitaki. Dume gani linapenda liwe na sikuzake kila mwezi humu embu ajitokeze hata mmoja.
am proud to be a woman. na siwez kutaman kuwa mwanaume wakati sijui uanaume una raha gani. ukiangalia kwa makin wanaume ndo wanatamani kuwa wanawake manake mashoga, mapambo, na hata mavazi yanaonyesha hivyo.
jamani uanaume kazi lol! kwanza tu kutunza na kulea familia, bado hujaweka changamoto za kiume ni nyingi kuliko za kike bado hujakuja kwenye mambo yetu yale wanawake wanafurahi zaid kulikowanaume na wanaume wanachoka zaid kuliko wanawake basi ni wazi kwamba jinsia ya kiume wanataman kuwa wakike.