Prince Mujubu
JF-Expert Member
- Jun 7, 2016
- 343
- 248
Habari zenu wana jamvi?
Naomba kuuliza mwenye ufahamu na haya mambo nadhani hili swala watu wa psychology watakua na ufahamu zaidi.
Kwanza kabisa mimi binafsi kwa uelewa wangu nilikua najua kuwa source of feelings is our brains until yesterday nilikua namsikiliza Dr mmoja kwenye radio alieleza kuwa moyo unatoa electro magnetic waves ambayo ndiyo source ya hisia mara 1000 zaidi ya ubongo.
Sasa kitu nauliza mimi je Kuna utafit uliwah kufanyika? How come moyo unatengeneza hisia wakat tulijifunza kazi yake ni kusukuma damu?
Je huyu jamaa anatupotosha au yuko sahihi?