Kati ya moyo(nafsi,roho) na ubongo, kipi ni chanzo cha hisia?

Prince Mujubu

JF-Expert Member
Jun 7, 2016
345
250
Habari zenu wana jamvi?

Naomba kuuliza mwenye ufahamu na haya mambo nadhani hili swala watu wa psychology watakua na ufahamu zaidi.
Kwanza kabisa mimi binafsi kwa uelewa wangu nilikua najua kuwa source of feelings is our brains until yesterday nilikua namsikiliza Dr mmoja kwenye radio alieleza kuwa moyo unatoa electro magnetic waves ambayo ndiyo source ya hisia mara 1000 zaidi ya ubongo.
Sasa kitu nauliza mimi je Kuna utafit uliwah kufanyika? How come moyo unatengeneza hisia wakat tulijifunza kazi yake ni kusukuma damu?
Je huyu jamaa anatupotosha au yuko sahihi?
 
Mhadzabe

JF-Expert Member
May 20, 2009
2,919
2,000

Maswala yote yanayotutawala yenye uhusiano na hisia iwe ya furaha, huzuni, uchungu na mengine kama hayo ni kazi ya Moyo/roho/heart ila inayotafasiri kwa maana ya kufanya au kupima jambo na ambao ni objective ni Ubongo/Brain!

Ubongo hutafasiri taarifa pasipo upendoleo au hisia tofauti na Moyo ambao maamuzi yake ni subjective!
 
isajorsergio

Platinum Member
Apr 22, 2018
3,389

Roho ni Soul
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
152,520

Hapa kuna vitu umechanganya
Moyo ni kiungo kwenye mwili wa nyama, na ubongo pia ni kiungo kwenye mwili wa nyama
Halafu nafsi ni ni muunganiko wa roho na pumzi

Jr
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
152,520
2,000
Habari zenu wana jamvi?

Naomba kuuliza mwenye ufahamu na haya mambo nadhani hili swala watu wa psychology watakua na ufahamu zaidi.
Kwanza kabisa mimi binafsi kwa uelewa wangu nilikua najua kuwa source of feelings is our brains until yesterday nilikua namsikiliza Dr mmoja kwenye radio alieleza kuwa moyo unatoa electro magnetic waves ambayo ndiyo source ya hisia mara 1000 zaidi ya ubongo.
Sasa kitu nauliza mimi je Kuna utafit uliwah kufanyika? How come moyo unatengeneza hisia wakat tulijifunza kazi yake ni kusukuma damu?
Je huyu jamaa anatupotosha au yuko sahihi?
Vivuli vitatu - JamiiForums

Jr
 
Mrs Van

JF-Expert Member
Mar 9, 2016
5,062
2,000
Kichwa ndio kila kitu moyo unasingiziwa tu. Brain ina control kila kitu. Umemuona mtu ukaona umempenda ubongo unapiga hesabu zake faster faster uchukue hatua gani. Kutumia akili kwa haraka kunafanya moyo u pump damu kwa kasi ili kukimbiza oxygen kwenye ubongo ili ujue unachukua hatua gani kama kumsalimia au vipi. Ndio pale unasikia mapigo ya moyo yanaenda mbio
 
ManchoG

JF-Expert Member
Jul 31, 2017
1,606
2,000
Chanzo Cha hisia sio ubongo

Ubongo ni kiungo Kama ilivyo kwa moyo na vinginevyo_Ila labda upate tofauti kupitia kazi kwamba hii ni ya kuwekea kumbukumbu ile ni ya kusukumia damu n.k

Vipo vichocheo a.k.a gland ndani ya mwili wa mwanadamu ambavyo huusika na uchochezi wa hisia za Kila namna ndani ya mwili wa kiumbe

Na Kuna Master wa hivyo vichocheo ambayo inaitwa pitutal gland Kama sijakosea(a third eye) na hifadhi yake ipo katika ya ubongo

Kwa wale watu wa mambo ya kiroho wanajua thamani ya hiyo kitu huwa unaweza ita pia patakatifu(pitutal gland) pa patakatifu(ubongo) kwa maana ndipo ilipo bahari ya mafikirio yote(imagination) ya mtu

Sasa kwa kuwa lugha yetu ni dhaifu juu ya elimu ya kiroho pia inakuwa ni gumu kidogo kwenye uwasilishwaji

Mtu anaweza akawa na nia ya kulenga kitu hicho kwenye uwasilishwaji wa taarifa lakini mpokeaji akaelewa kivingine labda kulingana na ujuha wa elimu husikaSent using Jamii Forums mobile app
 
Hammaz

JF-Expert Member
May 16, 2018
3,394
2,000
Labda tujiulize
-Vipi wanao badilishiwa moyo huwa wanakuwa na hisia mpya ghafla?
Au
-Vipi wanaowekewa mashine?
Wanao badilishwa moyo miongoni mwao hisiya hubadilika. Huwa kama za mwenye moyo halisi.
 
KENZY

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
16,054
2,000
Mkuu ni ubongo ndio unaochakata taarifa na kutoa maamuzi hivyo homoni huamuliwa na ubongo kufanya kazi yake ambayo ndo huleteleza hisia husika hayo maroho na manafsi wanajua ambao wameshafika huko lkn hapa ktk mazingira yetu ni ubongo nothing else endapo wengine husema mizimu yao hao ndo wameshachanganyikiwa
 
Prince Mujubu

JF-Expert Member
Jun 7, 2016
345
250
Maswala yote yanayotutawala yenye uhusiano na hisia iwe ya furaha, huzuni, uchungu na mengine kama hayo ni kazi ya Moyo/roho/heart ila inayotafasiri kwa maana ya kufanya au kupima jambo na ambao ni objective ni Ubongo/Brain!

Ubongo hutafasiri taarifa pasipo upendoleo au hisia tofauti na Moyo ambao maamuzi yake ni subjective!
mkuu ila Kuna watu wana moyo artificial Kwa upande wao ikoje
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom