Kati ya Mayele na Kagere nani bora?

kwisha

Senior Member
Sep 9, 2021
189
500
Kati ya Mayele na Kagere Una fikiri nani anatisha zaidi?

For me Mayele cause hata asipo funga anaweza kukuzuru pia to get Red card. yellow card or and penalty. Ni msumbufu sana kumchunga inahitaji akili saana kitu ambacho sikihonagi kwa Kagere.

Ayo ni maoni yangu Unaweza towa ya kwako pia Bila kutukana.

Screenshot_20211204_074753.jpg
 
Seth saint

JF-Expert Member
Oct 27, 2020
420
1,000
Ukitumia takwimu za ligi yetu Kagere ni bora kumpita huyu mkongo. Moja, Kagere kawa mfungaji bora katika ligi yetu kwa season mbili,pia ameweza kuscore 10 plus goals misimu mitatu kitu ambacho haijafahamika kama mkongo ataweza

Mwisho kabisa Kagere ana goals nne mpaka sasa wakati huyu mkongo ndo kwanza anajitafuta katika ligi. Anyway,Kagere is the best striker of all time in TPL,VPL and NPL.
 
Gide MK

JF-Expert Member
Oct 21, 2013
7,998
2,000
Ukitumia takwimu za ligi yetu Kagere ni bora kumpita huyu mkongo.Moja, Kagere kawa mfungaji bora katika ligi yetu kwa season mbili,pia ameweza kuscore 10 plus goals misimu mitatu kitu ambacho haijafahamika kama mkongo ataweza

Mwisho kabisa Kagere ana goals nne mpaka sasa wakati huyu mkongo ndo kwanza anajitafuta katika ligi.Anyway,Kagere is the best striker of all time in TPL,VPL and NPL.
Kumbuka Mayele ni mgeni wa Ligi, hana hata mechi 10
 
lugabussa

JF-Expert Member
Nov 23, 2020
346
500
Kati ya mayele na kagere
Una fikiri nani anatisha zaidi?
For me mayele
cause hata asipo funga anaweza kukuzuru pia to get Red card. yellow card or and penalty
Ni msumbufu saana kumchunga ina itaji akili saana
Kitu ambacho sikihonagi kwa kagere
Ayo ni maoni yangu Unaweza towa ya kwako pia Bila kutukana
View attachment 2032629
Kinacho mpa credit kubwa striker Ni takwimu zake
Katika ligi kuu NBC

Mayele=anamagoli 3
MK14=anamagoli 4

Hivyo aliyebora Ni mwenye takwimu za juu kumshinda Mwenzake
 
Msudu

JF-Expert Member
Aug 19, 2021
429
1,000
Ushabiki wetu kwa Simba na Yanga wakati mwingine unatupofusha na kutufanya kila kitu tuamue kwa msukumo wa ushabiki wetu.

Hao wachezaji ligi bado changa sana hatuwez sema nani bora
 
Njemba Soro.

JF-Expert Member
Oct 5, 2013
1,865
2,000
Kati ya mayele na kagere
Una fikiri nani anatisha zaidi?
For me mayele
cause hata asipo funga anaweza kukuzuru pia to get Red card. yellow card or and penalty
Ni msumbufu saana kumchunga ina itaji akili saana
Kitu ambacho sikihonagi kwa kagere
Ayo ni maoni yangu Unaweza towa ya kwako pia Bila kutukana
View attachment 2032629
kukuzuru... KUKUDHURU.
ina itaji....INAHITAJI.
sikihonagi.... SIKIONAGI.
Ayo.....HAYO.
Saana.... SANA.

Kagere ni bora kuliko Mayele.
 
nguruka wa kig0ma

JF-Expert Member
Jan 16, 2020
2,939
2,000
Ukitumia takwimu za ligi yetu Kagere ni bora kumpita huyu mkongo.Moja, Kagere kawa mfungaji bora katika ligi yetu kwa season mbili,pia ameweza kuscore 10 plus goals misimu mitatu kitu ambacho haijafahamika kama mkongo ataweza

Mwisho kabisa Kagere ana goals nne mpaka sasa wakati huyu mkongo ndo kwanza anajitafuta katika ligi.Anyway,Kagere is the best striker of all time in TPL,VPL and NPL.
Una mihemko ndugu. Kagere anameshazoea ligi yetu.
Mayele ni msimu wake wa kwanza.
Anzia hapa kuwalinganisha

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom