ubaguzi wa rangi kwa south africa ulikuwa ni lazima iwe hivyo , ni mambo ambayo pande zote 2 zilikuwa zinabaguana tofauti na jinsi sisi tulivyokuwa tunaaminishwa kuwa wazungu ndiyo walikuwa wanabagua waafrica , mzungu aliliona hilo na baada ya muda ikafikia kikao cha siri kati ya mandela na fw de clerk akiwa jela, kwamba tatizo hili wakulitatua ni wewe lakini si mwingine na ndiyo maana wa kafanya reconciliations na mandela kuachiwa on condition na ndiyo maana kuna wakati ANC ilipata mpasuko kwa maamuzi hayo ,lakini no way out muda ulikuwa umefika kufanya maamuzi hayo magumu ambayo kwa wengine yaliwakera , watu walitaka jino kwa jino,then baadaye wakaanzisha reconciliations committee, kupoza machungu , thats allKwa wa nchi za afrika Nyerere ni kwanza,mandela mwenyewe alikuwa anamfuata nyerere njinsi ya kuondoa ubanguzi wa rangi.
Miaka 27 jela? Dah, atakama ni uzalendo, huyu jamaa respect.
flow the Flag half-mask please..
Kama kura zingepigwa na viongozi wa Afrika basi 86% Hayati Mwalimu Nyerere angeshinda. Kile kichwa kilikuwa si mchezo.
Kama kura zingepigwa na viongozi wa Afrika basi 86% Hayati Mwalimu Nyerere angeshinda. Kile kichwa kilikuwa si mchezo.