Kati ya marehemu gaddafi, nyerere, na mandela nani alikuwa jembe???

MissM4C

JF-Expert Member
Aug 31, 2012
1,737
994
Nisaidiwe!!!!! hasa Tukijikita zaidi katika Maendeleo waliyoziafanyia Nchi zao na Mchango wao katka Umoja wa Africa!!!
 
Miaka 27 jela? Dah, atakama ni uzalendo, huyu jamaa respect.

flow the Flag half-mask please..
 
gadafi kafunika mkuu. hao wengine mchango wao ulikuwa kwenye kuweka misingi imara ya uongozi na kusaidia ukombozi. in terms of maendeleo, mandela na nyerere hawajafanya kitu. Gadafi yuko kotekote, alitaka umoja wa africa ktk kipindi hiki cha ubeberu na ni pekee aliyethubutu kutoa kauli kinzani za hao wazungu. maendeleo ni obvious sina haja ya ku
elezea
 
Kwa wa nchi za afrika Nyerere ni kwanza,mandela mwenyewe alikuwa anamfuata nyerere njinsi ya kuondoa ubanguzi wa rangi.
 
Ni vigumu kuconclude kuwa ni nani jembe kwa sababu ya utofauti wao kihistoria,kiukoo,ki mfumo wa kikoloni uliokuwepo,kidini,kiitikadi,kiuongozi,kijiografia,ki uhusiano na mataifa ya magharibi na ya mashariki,kiuchumi,ki maono,ki ukanda,mfumo wa utawala,haki za kibinadamu,mtazamo wa majirani zao kuwahusu wao,etc.
 
Kwa wa nchi za afrika Nyerere ni kwanza,mandela mwenyewe alikuwa anamfuata nyerere njinsi ya kuondoa ubanguzi wa rangi.
ubaguzi wa rangi kwa south africa ulikuwa ni lazima iwe hivyo , ni mambo ambayo pande zote 2 zilikuwa zinabaguana tofauti na jinsi sisi tulivyokuwa tunaaminishwa kuwa wazungu ndiyo walikuwa wanabagua waafrica , mzungu aliliona hilo na baada ya muda ikafikia kikao cha siri kati ya mandela na fw de clerk akiwa jela, kwamba tatizo hili wakulitatua ni wewe lakini si mwingine na ndiyo maana wa kafanya reconciliations na mandela kuachiwa on condition na ndiyo maana kuna wakati ANC ilipata mpasuko kwa maamuzi hayo ,lakini no way out muda ulikuwa umefika kufanya maamuzi hayo magumu ambayo kwa wengine yaliwakera , watu walitaka jino kwa jino,then baadaye wakaanzisha reconciliations committee, kupoza machungu , thats all
 
Unapowapima watu ni muhimu kutambua muda waliokaa madarakani na mabo waliofanikisha katika muda huo; tukumbuke kuwa Madiba alikaa madarakani kwa miaka minne tu na katika kipindi hicho aliweza kuleta maendeleo ya kisiasa kama vile kudismantle BANTUSTANS vitu ambavyo nadhani kizazi cha sasa huko bondeni hawajui hata ni kitu gani!! Kiuchumi South Afrika uchumi wake ulianza kukua kwa kasi hasa pale sanctions vilipoondolewa etc. Madiba kwa kipindi kifupi alifanya mambo mengi yaliyoweka misingi imara kwa Taifa lake.
 
Kama kura zingepigwa na viongozi wa Afrika basi 86% Hayati Mwalimu Nyerere angeshinda. Kile kichwa kilikuwa si mchezo.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom