Kati ya Mama mzazi na mke/mume nani utakaemjali?


adna yuzo

adna yuzo

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Messages
1,037
Likes
562
Points
280
adna yuzo

adna yuzo

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2014
1,037 562 280
Habari wanazengo!

Natumai nyote ni wazima wa afya naomba leo tuweze kujadili hii mada ndogo ambayo tuliweza kujibizana na watu lakin bado hatujapata majibu kamili labda hapa huwenda ikawa sehem sahihi.

Ila mada hii tuiangazie kwa upande wa upendo lakin si peiority kwa mzazi I I mean labda mfano imetokea ajali ambapo kwenye ajali hiyo yupo mzazi wako ambae ni Mama pamoja na mke wako au Mume wako je yupi wa kwanza kumuokoa na option ni moja ya kuchagua?

Narudia tena pindi utakapo jibu utoe jibu la msingi labda una muokoa mama kwanini mama? Then unamuokoa mke /mume why.

Shukrani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mlatinoh king

Mlatinoh king

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2015
Messages
4,704
Likes
4,496
Points
280
Mlatinoh king

Mlatinoh king

JF-Expert Member
Joined Oct 14, 2015
4,704 4,496 280
Maswali gani hayo kaka..........hakuna kiumbe mwenye thamani hapa duniani kumzidi mama.....

Hakuna kiumbe ambaye atakuwa na wew katika shida na raha zako zote na kupokea mapungufu yako yote kama yake isipokuwa mama,,,,

Yani mama is everything

Sent using Jamii Forums mobile app
 
funzadume

funzadume

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2010
Messages
8,264
Likes
4,379
Points
280
funzadume

funzadume

JF-Expert Member
Joined Jan 28, 2010
8,264 4,379 280
Meeyah

Meeyah

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2016
Messages
13,624
Likes
25,014
Points
280
Meeyah

Meeyah

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2016
13,624 25,014 280
Meeyah

Meeyah

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2016
Messages
13,624
Likes
25,014
Points
280
Meeyah

Meeyah

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2016
13,624 25,014 280
Acha kumfananisha mama na vitu vya kipumbufu..

Namchukua mama nampeleka hosp S.Africa ndipo nirudi kuja kumwokoa mke wangu nimpeleke zahanati Mwananyamala huko...
Itapendeza kama kabla ya kuelekea airport uwapeleke watoto wako alipo mama yao uwaache hapo wamuokoe mama yao
 
J

Joseph lebai

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2017
Messages
2,702
Likes
1,954
Points
280
J

Joseph lebai

JF-Expert Member
Joined Jul 19, 2017
2,702 1,954 280
Mke wangu na mama mzazi : Hapa duniani unabebwa na tumbo moja tu wakati wa miezi 9 , dhamani yake ni kubwa sana . Mke wangu sio ndugu yangu ni kuungana tu na kuzaa watoto , asipokuwepo napata mwingine , mama hupati mwingine milele . Najibu swali " mama zaidi "

Sent using Jamii Forums mobile app
 
EINSTEIN112

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Messages
2,144
Likes
2,894
Points
280
EINSTEIN112

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined Oct 26, 2018
2,144 2,894 280
Watu waongo sana humu mitandaoni. Saivi mama yako yupo kijijini analima na kupambana na hali yake we upo na mkeo/demu wako mnakula kitimoto na bia au mapochopocho kilasiku na hata mama hukumbuki hata kumtumia japo laki kwa mwezi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Meeyah

Meeyah

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2016
Messages
13,624
Likes
25,014
Points
280
Meeyah

Meeyah

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2016
13,624 25,014 280
Watu waongo sana humu mitandaoni. Saivi mama yako yupo kijijini analima na kupambana na hali yake we upo na mkeo/demu wako mnakula kitimoto na bia au mapochopocho kilasiku na hata mama hukumbuki hata kumtumia japo laki kwa mwezi

Sent using Jamii Forums mobile app
kazi kweli kweli
 
Mefloquine

Mefloquine

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2018
Messages
341
Likes
661
Points
180
Mefloquine

Mefloquine

JF-Expert Member
Joined Dec 6, 2018
341 661 180
Kitu kizuri cha kuzingatia ni kwamba wachangiaji wa humu hatufanani historia zetu, wewe ambae umelelewa vyema na mama yako, usijilinganishe na yule aliyetupwa mtaroni na mama yake mara tu alipozaliwa, au yule ambae aliona kabisa kati yake na ndugu zake aliozaliwa nao tumbo moja, mama yake alichagua kuwapenda zaidi hao wengine kuliko yeye, na hata michango yake ndani ya nyumba haithaminiki, mfano atawanunulia sofa set ndani ya nyumba lakini hakuna appreciation, ila ndugu yake akinunua saa ya ukutani, kila mgeni atakae ingia hapo ndani ataambiwa ile saa kanunua fulani, ni bora asingekuwa mama huyo anasema kabisa, lakin kitendo cha namna hiyo kinapunguza upendo wa mtoto kwa mzazi. Kwahiyo linapokuja eneo la nani wa kumsaidia kwanza, tusishangaane, kwakuwa ulivyotendewa na mama yako sivyo nilivyotendewa na mama yangu.

Unaposikia kuna matukio ya ukatili dhidi ya wanawake, asilimia kubwa ya wanaume wanaofanya matukio hayo ukifuatilia historia zao utagundua hawakupata upendo wa mwanamke wakiwa wadogo, iwe alilelewa na bibi, mama, shangazi au dada, so matokeo ya ukatili wowote anaofanyiwa mwanamke na mwanaume ni zao la chuki kutoka kwa mwanamke mwenzake.
 

Forum statistics

Threads 1,272,363
Members 489,924
Posts 30,448,844