Kati ya kina Mbowe na Makando ni nani alihojiwa kwanza na kwanini kimya?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
48,693
149,916
Nimeshangaa mh.Mbowe na Mdee waliohojiwa baada ya Makonda kuhojiwa adhabu zao zimeshatangazwa lakini Makonda aliehojiwa kabla yao mpaka sasa taarifa ya kuhojiwa kwake haijawasilishwa Bungeni.

Je,hii ni sawa?

Je,hii ni haki?
 
Hawa wawili ni CDM na issue ni kufifisha UPINZANI,huyo BASHITE hawezi guswa na Bunge lenye wanachama wa CCM wengi na ambao wanamuogopa Makonda kupita kiasi.
 
Makonda anawajibika kwa Rais sio wabunge......hata kwenda kuhojiwa alitakiwa asiende bunge na serikali ni mihimili tofauti
 
Hili la Mbowe, DJ hata mtu balozi wa kitongoji anahukumu. Inatakiwa itolewe ndani ya saa 72.

Makonda, Bashite ilikuwa na shida, kwani ilihitaji mawasiliano ya mihimili tofauti na anayestahili kutoa adhabu si bunge.
Nimeshangaa mh.Mbowe na Mdee waliohojiwa baada ya Makonda kuhojiwa adhabu zao zimeshatangazwa lakini Makonda aliehojiwa kabla yao mpaka sasa taarifa ya kuhojiwa kwake haijawasilishwa Bungeni.

Je,hii ni sawa?

Je,hii ni haki?
 
Angalia makosa yao,na nini adhab zao,,wale wamekutwa nanhatia bungeni kwenye ofis zao na wakawajibishwa huko huko,na makonda ishu ikoje au unajitoa ufahamu?
 
Hili la Mbowe, DJ hata mtu balozi wa kitongoji anahukumu. Inatakiwa itolewe ndani ya saa 72.

Makonda, Bashite ilikuwa na shida, kwani ilihitaji mawasiliano ya mihimili tofauti na anayestahili kutoa adhabu si bunge.
Utatukanwa na watoto wake subiri, usije ukakasirika .
 
Makonda anawajibika kwa Rais sio wabunge......hata kwenda kuhojiwa alitakiwa asiende bunge na serikali ni mihimili tofauti
Bunge lina haki ya kupokea taarifa ya kamati kisha kujidali na kuandaa maazimio na kuyawasilishwa kwa mamlaka yake ya nidhamu ili mamlaka husika ichukue hatua kama Bunge liliyopendekeza/shauri katika maazimio hayo.

Kama hujui ni bora ukae kimya.
 
Hakuna mtu aliehojiwa anaitwa Makando,,,tunasubiri ahojiwe huyo Unaemtaja kama Makando
 
Back
Top Bottom