Kati ya Kibaha mji Vs Halmashauri Kigamboni

Mkuu Kuna mambo si ya kuomba ushauri.Kama jamaa yako chaguo lake la kwanza ni Kigamboni basi avute subira na kama Kibaha mji aende Kibaha.Msije laumiana siku za mbeleni.Huyo ni Mwalimu hasifikiri shule zote za Kibaha mji ziko humo road.Halmashauri yake ya kichwa iamue Vizuri kusema sijui Kibaha inakua hakuna mahali pasipokua huko Kigamboni kunakua kila uchwao. Jambo la kufanya muulize mwenyewe hasa anataka wapi mambo ya unafuu wa maisha huko Kibaha wanagawa vitu Bure ila Kigamboni unanunua. Hasije akakulaumu huko mbeleni.Maamuzi yako hayamuuliwi na ushauri wa mtu mwingine.Kama vipi mwambie aje huku Kisarawe tule burudani na Niki wa pili.Aje hapa Kazimzumbwi.
 
Boss taratibu mtu kuomba ushaurii umaanishaa yuko tayari kusahuriwaa, mjumbe mmoja hapo amesemaa kuna tofauti kati ya Kibaha Mji na Kibaha DC, piaa kuna urahisi pengine wa Kuhama kutokaa Kibaha kwenda Kigamboni kuliko kutokaa mwanza kwenda Kigamboni, Shule aliyopo mhamajii ni BUNDIKANI, samahani unaweza kuwa unajuaaa ni umbali gani kutoka hapo kujaa mjini Kibaha
 
Ualimu Kiongoziii
Kama ni ticha mwambie aende Kibaha TC, maana xul zao hazipo mbali kihivyoo tokea maili moja, ila kigamboni ata chakaa anaweza akatupwa mwandege huko, akajikuta anaishi mbagala lkn ni mtumishi wa Kigamboni DC
 
Boss taratibu mtu kuomba ushaurii umaanishaa yuko tayari kusahuriwaa, mjumbe mmoja hapo amesemaa kuna tofauti kati ya Kibaha Mji na Kibaha DC, piaa kuna urahisi pengine wa Kuhama kutokaa Kibaha kwenda Kigamboni kuliko kutokaa mwanza kwenda Kigamboni, Shule aliyopo mhamajii ni BUNDIKANI, samahani unaweza kuwa unajuaaa ni umbali gani kutoka hapo kujaa mjini Kibaha
Kama shule ni bundikan anaweza kua anaishi dsm anakuja kwenye hiyo shule

Akitokea mbez ya kimara nauli ni mia5

Ila huyo asijipe hope kufika hiyo shule maana wanasema huwa mnabadilishana halmashaur na sio shule kwahiyo lolote linaweza kutokea anaweza asipelekwe hiyo shule kama kuna walim wengi sana

Anaweza pelekwa shule yenye uhitaji zaid provided shule ipo halmashaur hiyo hiyo

Hizi cases zimetokea nyingi sana
 
Boss taratibu mtu kuomba ushaurii umaanishaa yuko tayari kusahuriwaa, mjumbe mmoja hapo amesemaa kuna tofauti kati ya Kibaha Mji na Kibaha DC, piaa kuna urahisi pengine wa Kuhama kutokaa Kibaha kwenda Kigamboni kuliko kutokaa mwanza kwenda Kigamboni, Shule aliyopo mhamajii ni BUNDIKANI, samahani unaweza kuwa unajuaaa ni umbali gani kutoka hapo kujaa mjini Kibaha
Bundikani ni mjini kabisaa.Ukitokea kibamba kabla ujafika stend ya zamani maili Moja unashuka kituo kinaitwa sheli Pana sheli hapo unachukua boda Mpaka shule Nauli buku.Ukitokea huko aliko akipiga stendi ya zamani maili Moja kama anaenda Kibamba atashuka sheli then anachukua boda.Angalizo mkoa wa Pwani na wilaya zake usifikiri ukibadilishana na mtu 100%utaenda shule hiyo hiyo labda uwe na mtu au bahati vinginevyo wanakupeleka mahali penye uhitaji mkubwa wa Walimu nje ya hiyo shule.
 
Kibaha naipa 90%
Kigamboni 10%

Kama ana jicho la kuona mbali na kuwaza nnje ya Box ataenda Kibaha.

Kama anaishi kwa kuangalia leo tu akaribie kigamboni...

Dar imenitoka mimi asee, Pwani mpango mzima Asije sema hatukumwambia Baadae.
 
nenda kigambon udhibit elim.ila dar mzee ilemela huko mnadan unahemea rahis huku jiandae kununua vitu bei ya juu competition kubwa.unaenda kkoo unapigana kumbo na wahindi wachina.muhind anazitaka nyanya na wewe unazitaka.mzee fubgu bei

Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa unanifurahisha sana. Hivi hiyo picha hapo kwenye Avatar ni yako ?
 
2. Huduma za jamii, na zile basic needs kwa mtu ambae anaenda kuanza maisha huko..mfno gharama za maisha, kwa maana ya vymba vya kupanga, vyakula, presha za mji na mengineyo..=
Mwambie aende Kigamboni..,

Na makazi yake yawe huko huko Kigamboni...

Kigamboni is a future city, na kwavile mtumishi wa serikali, atapata fursa ya kuwekeza mdogomdogo kwenye viwanja ambavyo ni best asset kwa mtu asiye na muda wa kufanya side-works zinmazohitaji close follow up!

Na kwavile Kigamboni ni mji ulioanza kujengwa wakati Watanzania wameshaelimika, basi utakuta hata nyumba za makazi nazo zipo kwenye kiwango kizuri, na bei ni nafuu sana!!!
 
Mwalimu unakuja dsm kufanya nini..au unataka kuuza visheti...nenda vijijini ukalimishe watoto mashamba ya shule uwe na uhakika wa chakula.

#MaendeleoHayanaChama
 
Mwalimu unakuja dsm kufanya nini..au unataka kuuza visheti...nenda vijijini ukalimishe watoto mashamba ya shule uwe na uhakika wa chakula.

#MaendeleoHayanaChama
Kumbe Dar hakuna Walimu, shule za uko mnafundshana wenyewe
 
Back
Top Bottom