KASULI
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 599
- 669
Wakuu poleni na majukumu.
Asubuhi Asubuhi kuna rafiki angu kanipigia simu kuniomba ushaurii katika mambo yafuatayo:-
Yeye ni mtumishi wa umma katika mamlaka zilizoundwa kisheria na upokea Ruzuku kutoka serikali kuu(TAMISEMI). Sasa baada ya kufanya kazi halmashauri ya manispaa Ilemela akataman kubadili mazingira na nia yake ya kwanza ilikuwaa kuhamia Jiji la Dar es Salaam angalau TEMEKE AU KIGAMBONI, akaanza mchakato wa kuomba nafasi akapata katika ile hatua ya kushugulikia barua ya KuhamA Ndo waziri mwenye dhaman akatangaza amesitisha uhamisho kwa muda usiojulikana.
Mungu si Maxmello akafanikiwaa kupata mtu wa kubadilishana nae, uhamisho wa kubadilishana wenyewe unaendelea kifupi unaruhusiwaaa, anayetarajia kubadilishana nae yuko Halmashauri ya mji KIBAHA.
SASA HOJA.
Unamshaurijeee kwa kuzingatiaa yafuatayoo.
1. Ugeni wa kuanzaa maishaa ukoo Dar na Pwani kifupi ugeni wa mjii, je, ahamie Kibaha Mji au asubiri Kigamboni
2. Huduma za jamii, na zile basic needs kwa mtu ambae anaenda kuanza maisha huko..mfno gharama za maisha, kwa maana ya vymba vya kupanga, vyakula, presha za mji na mengineyo....
3. Fursa za kibiashara, kwa kuzingatia Kigamboni, Temeke na Kibaha
Naomba Kuwasilishaaaa.