Kati ya Kenya na Rwanda ipi ni sehemu nzuri kuhamia?

Humble African

JF-Expert Member
Jul 28, 2013
4,779
14,303
Habari wandugu!

Nina plan ya kuhamia kati ya Kenya au Rwanda hivi karibuni hivyo naomba kufahamu kutoka kwa wenyeji walioishi moja kati ya nchi hizo kwa maana ya hali za kimaisha zikoje? Wageni wanachukuliwaje na jamii ya wenyeji kwa pande zote Kenya na Rwanda, gharama za maisha kwa maana ya kupanga vyumba vya kawaida karibu na miji mikubwa? Bei ya vyakula? Kuoa na kuanzisha familia n.k

Pia mazingira rafiki ya fursa za kibiashara kwa mtaji wa milioni 10 kwa nchi zote, na mengineyo lukuki mazuri na mabaya yanayozihusu nchi hizo hapo mbili za majirani zetu.

Karibuni kwa michango yenu wataalamu.

Zingatia; kejeli na matusi at your own risk. Keep it classy and informative comments Bibi fisi and mzee wa busara at works.
 
Rwanda is the best choice mkuu
 
yapo mengi,nikitulia takumwagia hapa,kiuchache ni kwamba kuna fursa nyingi,watu wengi bado hawajafunguka na kuwa na capital za maana za kuweza kufanya maajabu katika biashara,ni sehemu nzuri ya kwenda kuchuma,uwoga ni mwingi,serikali ina nguvu sana kuliko raia,kifupi niseme ukiwa foreigner hasa from tanzania unachukuliwa kama ni mtu mihimu na unayejua mambo mengi,hata ukiwa fundi simu tu huku una uwezekano wa kutajirika mkuu,njoo ujionee mwenyewe,kweli nchi changa mambo yao ni kama watu wa kijijini,watiifu mno na ni waoga sana ku`take risk,bado wana maisha ya kutukuza watu,nipo way nikitulia takumwagia nyuzi zaidi,
Kenya wajanja wengi afu njaa kali,hautainjoi,pia wezi na ni matapeli sana,hawaaminiki,na ukishakuwa mgeni na ukionekana una upepo utapotea tu mkuu,njoo RWANDA!
 
Maandishi murua saana hayo mkuu, muhimu wasafiri na watafutaji wayasome na kuyatafakari kwa kina.

Binafsi nimefurahi kusikia kutoka kwako mkuu ila kwa haraka haraka vyumba vya kawaida tu kwa kijana alie singo vinapangishwa kwa bei gani karibu na mjii mkuu Kigali? Je ni vyema nikaapply masuala ya vida hapa Dar au ni heri nikafanyie Rusumo? @ RUBEDE

Shukrani!
 
Kama unatafuta maisha rahisi yenye usalama na bila ghasia, Rwanda is the best, ila kama unatafuta Maisha na mafanikio Ningekushauri Kenya, kama unataka maisha ya kupambana na kujifunza mambo mengi hasa biashara ya kimataifa, Kenya is the best, kuna viwanda lukuki kenya, unakuwa na centa Kenya unatafuta connection na Tanzania(ambazo tayar unazo)
Kenya kwa chakula bado hawajitoshelezi vizuri, unaweza Tengeneza unga wa mahindi ukatafutia vibal ukaanza kuuza Kenya, huku unaanza kuuza vya huko(viwandani)
Ujanja wako ni kucheza na wanaozijua hizo boda vizuri.
Kenya ipo pesa, Rwanda ipo amani.
 
yapo mengi,nikitulia takumwagia hapa,kiuchache ni kwamba kuna fursa nyingi,watu wengi bado hawajafunguka na kuwa na capital za maana za kuweza kufanya maajabu katika biashara,ni sehemu nzuri ya kwenda kuchuma,uwoga ni mwingi,serikali ina nguvu sana kuliko raia,kifupi niseme ukiwa foreigner hasa from tanzania unachukuliwa kama ni mtu mihimu na unayejua mambo mengi,hata ukiwa fundi simu tu huku una uwezekano wa kutajirika mkuu,njoo ujionee mwenyewe,kweli nchi changa mambo yao ni kama watu wa kijijini,watiifu mno na ni waoga sana ku`take risk,bado wana maisha ya kutukuza watu,nipo way nikitulia takumwagia nyuzi zaidi,
Kenya wajanja wengi afu njaa kali,hautainjoi,pia wezi na ni matapeli sana,hawaaminiki,na ukishakuwa mgeni na ukionekana una upepo utapotea tu mkuu,njoo RWANDA!
Maandishi murua saana hayo mkuu, muhimu wasafiri na watafutaji wayasome na kuyatafakari kwa kina.

Binafsi nimefurahi kusikia kutoka kwako mkuu ila kwa haraka haraka vyumba vya kawaida tu kwa kijana alie singo vinapangishwa kwa bei gani karibu na mjii mkuu Kigali? Je ni vyema nikaapply masuala ya visa hapa Dar au ni heri nikafanyie Rusumo? @ RUBEDE

Shukrani!
 
Thanks for your concern sir!

Ningependa tushee wote hapa jukwaani kwa ulichonacho kuhusu the "best side" ya Rwanda mkuu!

Cmoon funguka mkuu!
Kuna usalama
Kuna nidhamu,walau ustaarabu upo
Hawana mtimanyongo wala hawajioni wao bora kuliko wengine
 
Kama unatafuta maisha rahisi yenye usalama na bila ghasia, Rwanda is the best, ila kama unatafuta Maisha na mafanikio Ningekushauri Kenya, kama unataka maisha ya kupambana na kujifunza mambo mengi hasa biashara ya kimataifa, Kenya is the best, kuna viwanda lukuki kenya, unakuwa na centa Kenya unatafuta connection na Tanzania(ambazo tayar unazo)
Kenya kwa chakula bado hawajitoshelezi vizuri, unaweza Tengeneza unga wa mahindi ukatafutia vibal ukaanza kuuza Kenya, huku unaanza kuuza vya huko(viwandani)
Ujanja wako ni kucheza na wanaozijua hizo boda vizuri.
Kenya ipo pesa, Rwanda ipo amani.
Kenya hakuna pesa bana
 
Mrisho umeandika vizuri ila nahisi kwa vile Rwanda ndo inakua na inakua katika pace ambayo ni ya kuridhisha Afrika, binafsi naamini usalama na ukuaji wa uchumi vinaenda pamoja na kwa vile Rwanda inakua inaweza kuwa na opportunity nzuri zaidi kuliko Kenya ambako kuna wajanja na wajuaji kibao hivyo ukiwa kama mgeni unaetaa kuanzia chini inaweza kuwa very challenging saana. Au ikoje labda?
 
Rwanda amani ipo na uhuru w kufanya biashara kenya ni pazuri pia.ila hakuna biashara nzuri kama kupeleka spices rwanda zinalipa sana
 
Binafsi naamini the new marketplace itakuwepo pia Rwanda sababu ya discipline na strong determination ya wananchi kutaka kufikia malengo ya 2020.

Fungua bongo Mzee spice kama zipi zaidi zinatakuwa mkuu?
 
Viungo vya mboga na chai.kama hiliki vitunguu saum na maji viko na hela sana.ukijitoa ufahamu ukapeleka hadi sudan we milionea
 
Mrisho umeandika vizuri ila nahisi kwa vile Rwanda ndo inakua na inakua katika pace ambayo ni ya kuridhisha Afrika, binafsi naamini usalama na ukuaji wa uchumi vinaenda pamoja na kwa vile Rwanda inakua inaweza kuwa na opportunity nzuri zaidi kuliko Kenya ambako kuna wajanja na wajuaji kibao hivyo ukiwa kama mgeni unaetaa kuanzia chini inaweza kuwa very challenging saana. Au ikoje labda?
Mkuu nakuelewa Sana, issue hapa angalia pia uwezekano Mkubwa wa kufanikiwa kumbuka huendi huko kuishi, unaenda kutafuta maisha, ki geographia Kenya inazungukwa Na nchi kame Sana,
Hasa Sudan Na Somalia, isitoshe Kenya yenyewe Chakula bado Ni tatizo, wakat huo huo Tanzania tuna shida kubwa ya bidhaa za viwandani
So opportunities in Kenya and Tanzania zina Compliment each other, un like Rwanda...
Kinfgine Ni Lugha(need I say more?)

Rwanda Ni kwel unakuwa, lakn uchumi Wao sidhani Kama Ni rahisi kwa mtu wa kipato cha Kawaida Ku tape hiyo potential ukilinganisha na Kenya...
Kingine Ni kuongeza ubunifu, kwenye wajanja wengi ubunifu unaongezeka, na competitive adv yeyote itakuweka ahead of the game..
Mkuu, shukrani.
 
maisha yamekuwa magumu mpaka watu wanaamua kuhama nchi!!!! lazma tuisome namba me sijui nihamie nchi gani???? acha niende zangu zimbabwe!!
 
Back
Top Bottom