Kati ya Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi, Wakili Kibatala anasimama na ACT Wazalendo

Kwa sasa Kuna mjadala wa kipi kianze Kati ya katiba ya wananchi na Tume huru ya Uchaguzi.

Mvutano mkubwa unaonekana katika vyama viwili vya ACT Wazalendo na Chadema.

ACT Wazalendo wanataka ianze Tume huru ya Uchaguzi katika kuiendea katiba mpya na Chadema wanataka katiba mpya kwenye kuiendea Tume huru.

Mawazo yao yamewaingiza katika uadui mkubwa huku upande wa ACT Wazalendo ukijenga hoja ya kwanini ni muhimu kuanza na Tume huru na Chadema wakiwangooshea vidole na kuwatukana wakati mwingine kuwa wanatumiwa na serikali kuihujumu

Katika hatua hii Kuna makundi ya watu wenye ushawishi wametoa maoni yao.

Miongoni mwao ni Maria Sarungi kupitia bunge la Space anayetaka katiba mpya kwa kuungana na Chadema

Lakini wote hao hawasemi wataifikia vipi katiba mpya kutoka katika kura za wananchi hadi tume ya Sasa yenye jukumu la kuhesabu kura za maoni zitakazopigwa.

Kwa upande wa ACT Wazalendo,mawazo yao yanaungwa mkono na wanasheria nguli wa Chadema, Peter Kibatala na Tundu Lissu kuwa ni muhimu kuanza na Tume huru kabla ya Katiba mpya huku wakielezea sababu zao.

Kibatala amesema katika moja ya mahojiano na Clouds Tv kuwa sheria ya mabadiliko ya katiba ya Jaji warioba inataja tume ya uchaguzi ya Taifa NEC na ZEC kuwa ndiyo watakaosimamia kura za maoni kwenye kuipata katiba mpya.

Anasema hiyo tume isipokuwa huru hata wananchi asilimia 98 wakiwa wamepigwa kura ya kuidhinisha katiba mpya tume hizo zinaweza kupindisha ukweli na wananchi wakapoteza haki zao.

Pia Tundu Lissu kwa mlango wa Nyuma amesema mchakato wa Katiba uanze na ikiwa itafikia Uchaguzi wa 2024-25 katiba ikiwa haijaakamilika basi iundwe Tume huru,itakayosimamia Uchaguzi huo.

Kauli yake hii ambayo kwa namna moja ama nyingine imebeba tahadhari zote za kuzuia ukosolewaji ndani ya chama inaashiria wazi tamanio lake ni kuanza na Tume huru kabla ya Katiba mpya.

Kwa hiyo utaona mitazamo ya ACT Wazalendo na hao wanasheria nguli kwa pamoja kwao muhimu ni TUME huru Kwanza kabla ya Katiba.

Na Kibatala amekuwa muwazi zaidi katika hili tofauti na Lissu,anayesema chaguo lake kwa kuzunguka
Acheni porojo kwani ile tume ya Zanzibar inayobadilisha matokeo kila uchaguzi inaitwaje ? Hata wakati wa Jecha alipobaka uchaguzi na namatokeo yake alikuwa mwenyekiti wa Tume Huru ya uchaguzi Zanzibar !
Hii Nchi NGUMU Sana.....
 
Kwa sasa Kuna mjadala wa kipi kianze Kati ya katiba ya wananchi na Tume huru ya Uchaguzi.

Mvutano mkubwa unaonekana katika vyama viwili vya ACT Wazalendo na Chadema.

ACT Wazalendo wanataka ianze Tume huru ya Uchaguzi katika kuiendea katiba mpya na Chadema wanataka katiba mpya kwenye kuiendea Tume huru.

Mawazo yao yamewaingiza katika uadui mkubwa huku upande wa ACT Wazalendo ukijenga hoja ya kwanini ni muhimu kuanza na Tume huru na Chadema wakiwangooshea vidole na kuwatukana wakati mwingine kuwa wanatumiwa na serikali kuihujumu

Katika hatua hii Kuna makundi ya watu wenye ushawishi wametoa maoni yao.

Miongoni mwao ni Maria Sarungi kupitia bunge la Space anayetaka katiba mpya kwa kuungana na Chadema

Lakini wote hao hawasemi wataifikia vipi katiba mpya kutoka katika kura za wananchi hadi tume ya Sasa yenye jukumu la kuhesabu kura za maoni zitakazopigwa.

Kwa upande wa ACT Wazalendo,mawazo yao yanaungwa mkono na wanasheria nguli wa Chadema, Peter Kibatala na Tundu Lissu kuwa ni muhimu kuanza na Tume huru kabla ya Katiba mpya huku wakielezea sababu zao.

Kibatala amesema katika moja ya mahojiano na Clouds Tv kuwa sheria ya mabadiliko ya katiba ya Jaji warioba inataja tume ya uchaguzi ya Taifa NEC na ZEC kuwa ndiyo watakaosimamia kura za maoni kwenye kuipata katiba mpya.

Anasema hiyo tume isipokuwa huru hata wananchi asilimia 98 wakiwa wamepigwa kura ya kuidhinisha katiba mpya tume hizo zinaweza kupindisha ukweli na wananchi wakapoteza haki zao.

Pia Tundu Lissu kwa mlango wa Nyuma amesema mchakato wa Katiba uanze na ikiwa itafikia Uchaguzi wa 2024-25 katiba ikiwa haijaakamilika basi iundwe Tume huru,itakayosimamia Uchaguzi huo.

Kauli yake hii ambayo kwa namna moja ama nyingine imebeba tahadhari zote za kuzuia ukosolewaji ndani ya chama inaashiria wazi tamanio lake ni kuanza na Tume huru kabla ya Katiba mpya.

Kwa hiyo utaona mitazamo ya ACT Wazalendo na hao wanasheria nguli kwa pamoja kwao muhimu ni TUME huru Kwanza kabla ya Katiba.

Na Kibatala amekuwa muwazi zaidi katika hili tofauti na Lissu,anayesema chaguo lake kwa kuzunguka
Chadema kaskazi
 
Wengi wenu mnapiga kelele katiba mpya hamna idea yoyote kuhusu mchakato wa kupatikana kwake. Even worse, asilimia kubwa zaidi hawawezi kueleza kipi kitaifanya katiba mpya iheshimiwe ilhali iliyopo inapuuzwa.
Kama hata kueleza "Tume Huru" itapatikana vipi, wewe hapo ndiye unayefikiri unayajuwa hayo unayodhani wengine hawayajui?
 
Wewe achana tu na huu uzi; unapotezea watu muda bure. Political environment huibadilishi kwa kusema tu unataka katiba mpya. Viti vya uwakilishi ndiyo vinatakiwa kuwa priority number one. Wapinzani (collectively) wakikamata majority ya viti vya Bunge, watakuwa na uwezo wa kubadilisha chochote kile wanachoona hakina manufaa kwa taifa. They’ll be an unstoppable force!
Hiyo "majority" itapatikana vipi kama mfumo bado ni ule ule unaondeshwa na chama kimoja, mfumo unaohakikisha maslahi ya chama hicho ndiyo kazi ya vyombo vyote vya serikali kutimiza.
Bado husemi hiyo 'Tume Huru' itatoka wapi!
 
Tusilete hadidhi za yai na kuku hapa, Katiba ndio inayotakiwa kuzaa tumehuru, katiba ndio inayotakiwa kusema wazi kuhusu uhuru inaotakiwa kwenye TUME ya uchaguzi not otherwise. We should start with Katiba first not TUME. We can have an interim tume huru kwa ajili ya kupitisha katiba. Thereafter katiba will take charge of forming a new TUME HURU YA UCHAGUZI.
 
Hiyo "majority" itapatikana vipi kama mfumo bado ni ule ule unaondeshwa na chama kimoja, mfumo unaohakikisha maslahi ya chama hicho ndiyo kazi ya vyombo vyote vya serikali kutimiza.
Bado husemi hiyo 'Tume Huru' itatoka wapi!
How does the opposition take the majority in the parliament without TUME HURU? Hatutaki kurudi kwenye ule uchaguzi wa 2020. It a nightmare.
 
Mkuu, wewe unakwenda mbele zaidi kabla ya kuangalia nyuma kuna nini.

Hiyo "majority in parliament" hao wapinzani wataipataje, kwa hiyo tume unayofikiria itakuwa huru? Hiyo tume huru itatoka wapi? Mungu ataidondosha Tanzania ianze kufanya kazi ikiwa huru kabisa ili wapinzani wapate "majority in parliament"?

Eleza kwanza hiyo "Tume Huru" itatoka wapi, halafu mengine yatafuata.
Na ili maelezo yako yawe kamilifu, usisahau hiyo "Tume Huru" itakuwaje huru katika mazingira yasiyokuwa rafiki kwake. Kwa mfano, polisi wakitaka kufanya yao wakati wa uchaguzi, tume itafanya nini na uhuru wake. Huo ni mfano mmoja tu ninaokupa, ipo mingi mingine inayoweza kukwamisha huo uhuru unaodhani itakuwa nao.
 
Naomba kufahamishwa..

Kwa mujibu wa Katiba mpya... Wajumbe wa Tume ya Uchaguzi wanapatikanaje?
Katiba mpya ipi mkuu??

Binafsi mimi ningependekeza hizo nafasi zitangazwe wenye uwezo waombe, wafanyiwe usahili, watakaofuzu waidhinishwe na Bunge au mahakama kabla hawajaingia ofisini!
 
Hiyo "majority" itapatikana vipi kama mfumo bado ni ule ule unaondeshwa na chama kimoja, mfumo unaohakikisha maslahi ya chama hicho ndiyo kazi ya vyombo vyote vya serikali kutimiza.
Bado husemi hiyo 'Tume Huru' itatoka wapi!

Shida ya wapinzani ni kukosa utashi wa kubaini na kusahihisha strategic mistakes zao. Wanapenda witch-hunting zaidi. Madai ya kupokwa ushindi ndiyo chorus wanayoipenda, lakini ukweli ni kwamba wanafanya makosa mengi ya kimkakati. Imekuwa kawaida yao kusema wamepokwa ushindi kila wanaposhindwa uchaguzi na kusema haki imetendeka pale wanaposhinda. Hiyo ambivalence ni uwendawazimu tu, kwasababu kuna empirical evidence ya repeated successes kwenye majimbo ambayo upinzani walikuwa na mikakati mizuri.

Kitu ambacho wapinzani walipaswa kukifanya tangu mwanzo ni kuvifanya viti vya ubunge na uwakilishi kuwa their first priority and to replicate their success stories. Wanapoteza resources nyingi na energy kubwa kupigania Ikulu badala ya kupigania vyombo ambavyo ndivyo vina uwezo wa kusawazisha uwanja wa mapambano. Fikiria, kwa mfano, resources na energy wanazotumia presidential candidates wanaodhaminiwa na vyama ambavyo havijawahi hata kuwa na kiti kimoja tu kwenye Bunge. Are those resources and energy put to good use? Wanataka kwenda Ikulu wakawe dictators au ili iweje labda?

‘Tume Huru’ ni sehemu ndogo sana ya mabadiliko ya Katiba yanayohitajika and it’s a more realistic goal, under the current political environment. So, long story short, if you think ‘Tume Huru’ is out of reach, juhudi zozote za kupigania Katiba mpya ni uwendawazimu!
 
Now, this is certainly a calm response from you that can be discussed rationaly.

Siwezi kamwe kuwatetea wapinzani kwamba hawafanyi/hawajawahi kufanya makosa, kuna sehemu mbalimbali wamefanya makosa, pengine hata mengine yanayotokana na kukosa uzoefu.
Lakini kuwalaumu kwa kushindwa kwao kwa mfano kutetea viti vyao vya ubunge katika uchaguzi mkuu kama ule uliofanyika 2020, hapo ni kuwaonea kuliko wazi kabisa.

Wapinzani wamefanyiwa bugdha, nyingi tu, hata za kuwanyima haki ya kufanya siasa, haya nayo walaumiwe wao kutoweza kutumia wale wabunge wachache waliokuwa nao bungeni kuongeza wingi wao? Huko bungeni kwenyewe, chini ya uongozi wa Ndugai na huyu binti sasa anayekalia kiti cha spika, hukuwahi kuona jinsi walivyokuwa wakitendewa humo ndani?

Hao wabunge waliokuwa wakinunuliwa kutoka upinzani, nako tuseme ni upinzani ulioshindwa kuwasimamia wabunge wake?

All in all, haya yote tunayoyasema hapa ni mfano mzuri unaoonyesha kwamba hata hiyo "Tume Huru" kwa muujiza ingetokea kuwepo, mfumo unaoendeshwa na CCM usingeruhusu hiyo tume ifanye kazi inavyotakiwa.

Kwa hiyo, jibu si kuwepo kwa "Tume Huru" kutakakoongeza wabunge upande wa upinzani, halafu wabunge hao ndio wasimamie kutengeneza Katiba Mpya.
Na kwa kweli nasita hata kusema kuwa uwepo wa Katiba Mpya 'per se' ndiko kutakakoondoa mfumo mbovu unaoilinda CCM kuendelea kuvuruga nchi.
Nadhani jibu la haya yote lipo kwa wananchi kuamua ku-overhaul the entire system. Kuung'oa kabisa mfumo huu mbovu na miziz yake yote, halafu tutengeneze Katiba Mpya, na matokeo yake yawe kupatikana kwa Tume Huru ya uchaguzi.
Ni wananchi pekee, ndio wenye uwezo huo, lakini wawe na elimu ya kutosha katika eneo hili, na pawepo na uongozi thabiti wa kuwaongoza kuikamilisha shughuli hii muhimu sana kwa taifa letu wakati huu.

CCM hataki kabisa mabadiliko haya, na katika kukataa huko, tunaona wanavyohangaika na hizi mbinu mpya za kuwalaghai watu, ikiwa ni pamoja na baadhi ya viongozi wa upinzani.
 
Kukandamizwa kwa wabunge wa upinzani Bungeni sio permanent condition. Kwa umoja wao, wakishakuwa na idadi inayozidi nusu ya wabunge wote, ukandamizaji lazima utaisha; wataweka Speaker wanayemtaka wao.

Hata kama kuna foul play kwenye baadhi ya majimbo, hiyo sio justification ya kukataa matokeo yoyote ya uchaguzi yanayoonesha mpinzani ameshindwa. Wapinzani wanapaswa kufanya objective assessment ya performance yao kwenye chaguzi wanazoshindwa na kuchukua hatua kusahihisha mapungufu yao. Unfortunately, they don’t do that. Kulalamika ndiyo kitu pekee wanachofanya. They need to replicate their success stories. Kama walifanikiwa kwenye jimbo fulani, hakuna sababu ya kuamini kwamba haiwezekani kufanikiwa kwenye jimbo jingine. Itawachukua muda kupata majority Bungeni, lakini hilo sio tatizo provided their priorities aren’t upside down!

Kujaribu kupandikiza kwenye jamii utamaduni wa umma kutafuta mabadiliko kwa njia za shari ni kujichimbia kaburi. Leo umma ukitafuta na kufanikiwa kuleta mabadiliko kwa njia za shari, chances are that ‘history will repeat itself’. That becomes a new normal. Mifano ya nchi zilizouingia huo mkenge ipo mingi.

Kufikiri kwamba kuna siku eti CCM itapitisha aina ya Katiba wanayoitaka wapinzani, ni sawa na kukaa ukisubiri miujiza itokee. Wale ni watu wa kulazimishwa tu wakishakosa majority kwenye Bunge la Katiba.
 
ccm lumumba anapojaribu kuishauri upinzani🤣🤣
 
Achana na huyo ccm lumumba fc anajifanya haishi tanzania na kuona kilichotokea 2019 na 2020
 
Ukikuta mtu anaamini chama chake kilishinda kwenye majimbo yote ya uchaguzi halafu kikapokwa ushindi, ujue huyo EITHER ni nutcase OR ameshaachia watu wengine kazi ya kufikiria!
 
Kukandamizwa kwa wabunge wa upinzani Bungeni sio permanent condition. Kwa umoja wao, wakishakuwa na idadi inayozidi nusu ya wabunge wote, ukandamizaji lazima utaisha; wataweka Speaker wanayemtaka wao.

Hata kama kuna foul play kwenye baadhi ya majimbo, hiyo sio justification ya kukataa matokeo yoyote ya uchaguzi yanayoonesha mpinzani ameshindwa. Wapinzani wanapaswa kufanya objective assessment ya performance yao kwenye chaguzi wanazoshindwa na kuchukua hatua kusahihisha mapungufu yao. Unfortunately, they don’t do that. Kulalamika ndiyo kitu pekee wanachofanya. They need to replicate their success stories. Kama walifanikiwa kwenye jimbo fulani, hakuna sababu ya kuamini kwamba haiwezekani kufanikiwa kwenye jimbo jingine. Itawachukua muda kupata majority Bungeni, lakini hilo sio tatizo provided their priorities aren’t upside down!

Kujaribu kupandikiza kwenye jamii utamaduni wa umma kutafuta mabadiliko kwa njia za shari ni kujichimbia kaburi. Leo umma ukitafuta na kufanikiwa kuleta mabadiliko kwa njia za shari, chances are that ‘history will repeat itself’. That becomes a new normal. Mifano ya nchi zilizouingia huo mkenge ipo mingi.

Kufikiri kwamba kuna siku eti CCM itapitisha aina ya Katiba wanayoitaka wapinzani, ni sawa na kukaa ukisubiri miujiza itokee. Wale ni watu wa kulazimishwa tu wakishakosa majority kwenye Bunge la Katiba.
EeenHeeee!
Naona kila mtu anatwanga kivyake hapa. Mjadala hauwezi kwenda hivyo.

Mtu unaambiwa mfumo hauwezi kuruhusu wapinzani kupata huo wingi wa wabunge, halafu jibu linakuwa "kama kuna foulplay kwenye baadhi ya majimbo, hiyo si justification ya kukataa matokeo", sasa unataka wapate wabunge wengi kivipi?

Halafu unasema "Kujaribu kupandikiza kwenye jamii utamaduni wa umma kutafuta mabadiliko kwa njia za shari ni kujichimbia kaburi". Hivi unajuwa ni nani anayetumia njia za shari kubaki madarakani, huyu ataachaje madaraka kama halazimishwi na njia hizo hizo anazotumia yeye?

Nadhani nimefikia mwisho wa mjadala huu, maanake naona hakuna jipya tutakalojadili, angalao kuepusha hizo shari unazozizungumzia hapa.

Lakini sina hakika kama kweli uliyoandika hapa ndiyo hasa unayoyaamini. Nimejaribu kujikumbusha juu ya michango yako mbalimbali humu jukwaani, lakini sijaona msimamo unaoendana na mawazo haya. Labda uwe umeyaokota juzi ndani ya serikali ya mama.

Imenilazimu pia nitazame kwa makini 'Avatar' unayotumia hapa. Nimeshindwa kujuwa hasa unasimamia wapi katika hatma ya nchi yetu.
 
Wengi wenu mnapiga kelele katiba mpya hamna idea yoyote kuhusu mchakato wa kupatikana kwake. Even worse, asilimia kubwa zaidi hawawezi kueleza kipi kitaifanya katiba mpya iheshimiwe ilhali iliyopo inapuuzwa.
Katiba iliyopo haiheshimiwi kwasababu haijatoa mamlaka kisheria kuacha organ zote za nchi zijiendeshe kwa uhuru bila kuingiliwa na organ nyingine.

Mfano Rais na baadhi ya wakuu wa mihimili mingine ambao kimsingi wote wanatokea CCM wanapokuwa na hadhi ya kutoshtakiwa kunawapa ujeuri wajione wako juu ya sheria za nchi, hawa ni rahisi kwao kuvunja sheria kwa sababu wanajua hawawezi kushtakiwa popote.

Katiba Mpya ikipatikana ikamuweka kila kiongozi kwa nafasi yake, ayajue majukumu ya kazi yake na mipaka yake kisheria, hii itaondoa dhana ya kusema "mbona Katiba ya sasa haiheshimiwi" kwa kuwa watendaji watakuwa wakifanya kazi zao kisheria na wasiogope kumkwaza bosi wao ambae kimamlaka amegeuzwa mungu mtu kwa kutoshtakiwa hata kama akivunja sheria.
 
Wewe achana tu na huu uzi; unapotezea watu muda bure. Political environment huibadilishi kwa kusema tu unataka katiba mpya. Viti vya uwakilishi ndiyo vinatakiwa kuwa priority number one. Wapinzani (collectively) wakikamata majority ya viti vya Bunge, watakuwa na uwezo wa kubadilisha chochote kile wanachoona hakina manufaa kwa taifa. They’ll be an unstoppable force!
Hii pointi ndiyo inayofanya dhana ya upatikanaji wa Katiba Mpya iwe ngumu, wanasiasa hawaaminiani, ni vipi wanaweza kujishusha kwa mfano CCM licha ya mamlaka waliyonayo wakaamua kuwa na wajumbe neutral 50% kwenye bunge la Katiba ili tuweze kupata Katiba itakayokuwa fair kwa wote.

Kwa hali ilivyo sasa, naamini kabisa CCM wanajua wakiacha huu mchakato uwe huru kwa hali ya mambo ilivyo huko nje watajikuta wanabaki peke yao kwenye hilo bunge, hivyo ili kulinda "interest" zao ni lazima wahakikishe wajumbe watakaokwenda kwenye hilo bunge wana vinasaba na chama chao, na hapa ndipo tatizo linapoanzia.

Kwa hali ya mambo ilivyo, bila kwanza kutegua hicho kitendawili cha kuaminiana, naamini huu wimbo wa Katiba Mpya tunaweza kuendelea kuuimba hata miaka 50 ijayo na hiyo Katiba Mpya isipatikane.
 
Back
Top Bottom