Kati ya kampunu hizi nichukue tairi zipi?

profesawaaganojipya

JF-Expert Member
Apr 21, 2015
1,484
3,127
kati ya kampuni hizi za tairi za china,ipi ni nzuri wadau,kuna BOTO,SAILUN NA LINGLONG-zote bei ni 145,000/kwa pisi,nichukue kampuni ipi?nataka pisi 2 za mbele,205/70R15.
 
Tairi kwa sasa Zimepanda sana Bei....Serikali Iangalie Hili Jambo la Tairi Kupanda Bei.
 
kati ya kampuni hizi za tairi za china,ipi ni nzuri wadau,kuna BOTO,SAILUN NA LINGLONG-zote bei ni 145,000/kwa pisi,nichukue kampuni ipi?nataka pisi 2 za mbele,205/70R15.
Chukua linglong hayo mengine kifafa sifa ya linglong mpaka tyre inaisha na kuwa kipara haitokuwa na shida hayo mengine hayakawii kuvimba na good ride ni tatizo.
 
Back
Top Bottom