Kati ya jiji la Nairobi na Dar es Salaam lipi limejengeka?

DINHO

JF-Expert Member
Dec 12, 2016
886
1,749
Wanajamvi,

Napata shida sana kujua ni jiji lipi kati ya DAR na NAIROBI limejengeka vizuri, yaana nyumba za kisasa, miundombinu thabiti, mpangilio wa jiji, usafiri N.k. Hivyo basi naombeni angalau nipate majibu with vivid examples.

Ahsanteni.
 
Nataka kujua iwapo haya maeneo ni sehemu ya jiji la Dar.
Kigogo, mbagala, manzese, tandale, buguruni, temeke, gondola mboto, kinondoni mkwajuni
 
Nataka kujua iwapo haya maeneo ni sehemu ya jiji la Dar.
Kigogo, mbagala, manzese, tandale, buguruni, temeke, gondola mboto, kinondoni mkwajuni
Ni kawaida kwenye nchi zinazoendelea kuwepo sehemu kama hizo ulizotaja, hata Rio De jeneiro ,bangkok maeneo kama hayo yapo.Pia tunapozungumzia Nairobi tunajumuisha na Mathare na kibera
 
Wanajamvi,

Napata shida sana kujua ni jiji lipi kati ya DAR na NAIROBI limejengeka vizuri, yaana nyumba za kisasa, miundombinu thabiti, mpangilio wa jiji, usafiri N.k. Hivyo basi naombeni angalau nipate majibu with vivid examples.

Ahsanteni.

Waulize HABITAT au Prof. Tibaijuka
 
Nairobi ni jiji ktk nchi iliyo endelea na kujengeka toka mbepari Mnzungu..nature ya mkoloni alikua kama settlers hivyo uzunguni ni sehem kubwa zaidi ya jiji la dsm vile vile wakenya ni ma hussler yaan wataftaj zaid ya wa tz..hivyo huwez linganisha zaidi jiji la DSM limekithiri kwa uozo na uchafu..ni ngumu saana DSM kuendelea labda tuanzishe Miji mingine kama pwani Dodoma ama singida..lkn sio dsm
 
Duh maana nina rafiki yangu Mkenya ananipiga kamba kwelikweli...?? Anadai Nairobi Iko mbali sana kulinganisha na Dar.. Anasema DAR inaweza kuendana na MOMBASA.. hapo ndo nikachoka kabisaaa..
 
Wanajamvi,

Napata shida sana kujua ni jiji lipi kati ya DAR na NAIROBI limejengeka vizuri, yaana nyumba za kisasa, miundombinu thabiti, mpangilio wa jiji, usafiri N.k. Hivyo basi naombeni angalau nipate majibu with vivid examples.

Ahsanteni.
Ukiendelea na maswali ya kizushi kesho utatuuliza Kati ya mkeo na wa mpangaji mwenzio yupi ana taarabu ?
 
Back
Top Bottom