Usisahau kuuliza pia kama Kawangware, kariobangi au kibera nayo ni maeneo ya Nairobi au la.Nataka kujua iwapo haya maeneo ni sehemu ya jiji la Dar.
Kigogo, mbagala, manzese, tandale, buguruni, temeke, gondola mboto, kinondoni mkwajuni
Ni kawaida kwenye nchi zinazoendelea kuwepo sehemu kama hizo ulizotaja, hata Rio De jeneiro ,bangkok maeneo kama hayo yapo.Pia tunapozungumzia Nairobi tunajumuisha na Mathare na kiberaNataka kujua iwapo haya maeneo ni sehemu ya jiji la Dar.
Kigogo, mbagala, manzese, tandale, buguruni, temeke, gondola mboto, kinondoni mkwajuni
Wanajamvi,
Napata shida sana kujua ni jiji lipi kati ya DAR na NAIROBI limejengeka vizuri, yaana nyumba za kisasa, miundombinu thabiti, mpangilio wa jiji, usafiri N.k. Hivyo basi naombeni angalau nipate majibu with vivid examples.
Ahsanteni.
Ukitaka kujua na kuwa mkweli kwa nafsi yako tembelea miji yote miwili bila papara utatuletea mrejesho. Nairobi iko mbele ya Dar kwa mambo mengiTuna mwendokasi wao hawana.nukta
Ukiendelea na maswali ya kizushi kesho utatuuliza Kati ya mkeo na wa mpangaji mwenzio yupi ana taarabu ?Wanajamvi,