Black BackUp
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 685
- 622
Hao jamaa(Komando Vs Jasusi) wanafanya kazi tofauti,ukizungumzia Bato komando yuko juu hata operation wanazopewa hua ni tofauti ukizingatia Komando anaweza kua jasusi ila jasusi hawezi kua komandoShikamooni wakubwa zangu wote wa hapa Jamiiforums. Mimi mdogo wenu Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to the Almighty. Leo swali langu ni kama hivi;
Kati ya Jasusi na Commando, yupi ni mtu hatari sana anayepaswa kuogopwa?
Nimeuliza hivyo kwa maana kwamba inasemekana hawa wote wawili wanakuwa ni watu waliopitia mafunzo magumu sana ya uvumilivu (endurance), matumizi ya silaha pamoja na kujilinda (self-defense).
Kuna baadhi ya watu wanadai Jasusi anatumia akili nyingi na nguvu kidogo wakati Commando anatumia nguvu nyingi na akili kidogo.
Ni nani mtu hatari sana kumzidi mwenzake?
OMBI LANGU: NSSF nipeni pesa zangu nyie jamaa. Mtaani maisha ni magumu sana. Mungu anawaona mjue?????